UTANDO JUU YA ULIMI; KICHEFUCHEFU

UTANDO JUU YA ULIMI; KICHEFUCHEFU

Ukimwi siku hizi kama hela kila mtu hana. Ahahaha!

But najua mtoa mada hana HIV maana alishapima na akaambiwa negative watu wameunganisha mouth ulcers na HIV though kuna relation ila sio kila mouth ulcers ni HIV zingine ni addition and other intestinal diseases.

So mtoa mada vumilia madongo tu.
 
Hahahaha unampa moyo mkuu,
Maana ONTARIO yupo kwenye group la intelligent.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala ambalo lilipekea kuhisi kichefuchefu na kutema mate mara kwa Mara au kila wakati na hivyo kupata shida sana kujumuika na watu wengine kwenye masuala ya kijamii. Hata hivyo ikumbukwe kuwa hadi sasa bado tarizo ngozi, utando, pamoja na kichefuchefu wakati mimi ni mwanaume wa takribani 30s miaka.
Tafadhari wajuzi na weledi wa tiba za binadamu
Pole mkuu! Punguza matumizi ya vyakula vyenye sukari nyingi! Nakushauri ukacheck sukari pia kwani ikiwa nyingi inasababisha fungal outgrowth kwenye kinywa hasa ulimi
 
Nalipiza mkuu nilifanyiwa hvo mwaka 2016 sitakaa nisahau ..
Alafu ww ndo unayejiitaa servant of God .....daah ni bora utende dhambi ukiwa hujui kama unafanya dhambi kuliko kufanya dhambi while unajuaa kuwa unachofanya ni dhambi .......boy stay on ur lane ...maneno yako yafanane na matendo yako how can u say kuwa umesurrender maisha yako kwa Mungu while unawajibu wenzio majibu kama hayo???
JITAFAKARI MUNGU HACHEZEWI!!!
 
Ndugu yangu maneno na matendo hayo siyafanyii JF. Jf humu waigizaji tu mtu anajifanya msataarabu kumbee
Wengi niliokutana nao wa humu wanaweza kukueleza mm ni nani!!!
 
Ndugu yangu maneno na matendo hayo siyafanyii JF. Jf humu waigizaji tu mtu anajifanya msataarabu kumbee
Wengi niliokutana nao wa humu wanaweza kukueleza mm ni nani!!!
We mzee si ulisema unakufa week iliyopita kumbe bado unadunda duuh...
 
Mtoa mada nenda hospital kubwa kama muhimbili au agha khan ufanyiwe vipimo... Acha kukaa na ugonjwa muda mrefu hvyo yawezekana ni gonjwa kubwa....
Bandu bandu umaliza gogo..
 
Naomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala ambalo lilipekea kuhisi kichefuchefu na kutema mate mara kwa Mara au kila wakati na hivyo kupata shida sana kujumuika na watu wengine kwenye masuala ya kijamii. Hata hivyo ikumbukwe kuwa hadi sasa bado tarizo ngozi, utando, pamoja na kichefuchefu wakati mimi ni mwanaume wa takribani 30s miaka.
Tafadhari wajuzi na weledi wa tiba za binadamu

ULIMI UNAWEZA KUONYESHA DALILI ZA KISONONO ,FANGASI ,HOMA NA SARATANI..

1.Fangasi ni tatizo linalo develop taratibu kwa muda mrefu (chronic infection) sio muda I mfupi (Acute infection.)

Kwa macho yako wewe huwezi kutoa conclusion kuwa hizo ni fangasi hivyo aonane na daktari. Yawezekana ni Human Simplex Virus (HSV2) ambao ni very common.

Kama ni fangasi more likely ni CANDIDA ABLICANS

Mdomoni mwa binadamu kwa kawaida huwa kuna bacteria pamoja na fangasi ambao hawana madhara( Normal Flora) na wanakuwa katika uwiano ambao uko balanced. Kinga ya mwili pamoja na bacteria vinajukumu la kuhakikisha hao fangasi hawakui wengi kupitiliza kiwango kinacho takiwa.

Mambo yanayo punguza kiwango cha normal flora bacteria au Kinga ya mwili kupungua vinapelekea hawa fangasi kuongezeka kwa wingi mdomoni kupita kiwango. Hapo ndipo mtu anapata fangasi wa mdomoni kitaalamu ORAL CANDIDIASIS.

Mambo yanayo punguza kinga ya mwili ni kama vile 1. HIV/Aids 2. Kisukari 3.kansa 4.matumizi ya dawa za Kansa. 5. Matumizi ya steroids drugs. 6. Watoto kinga iko chini. Watu hawa wako kwenye risk ya kupata Oral candidiasis

Matumizi ya muda mrefu ya Antibiotics kama vile Amoxcilin, penicillin nk huwauwa bacteria nakupelekea kupungua kwa normal flora bacteria na kusababisha overgrowth ya Fangasi.

Dalili, unapata vitu kama ukoko kwenye ulimi au kuta za mdomo ambavyo ukisugua na mswaki havitoki( ORAL THRUSH). Ulimi kuwasha na wakatimwingine vibalango vidogo kwenye ulimi pembeni.
.
MATIBABU: mpaka tujiridhishe kama kweli hizo ni fangasi. Dawa sio pipi epuka matumizi yasiyo sahihi au lazima ya dawa. Miili yetu Isiwe sehemu ya majaribio ya dawa mtu akikushauri jaribu hii na ww unajaribu kweli.

Tiba ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu

ULIMI UNAWEZA KUONYESHA DALILI ZA KISONONO ,FANGASI ,HOMA NA SARATANI...jpg
 
Jaribu kusukutua kinywa kwa backing powder. Kukiwa na mabadiliko njoo utupe mrejesho.
 
Kapime, Kaswende na Gonnorhaea,Ugonjwa wa ini (hepatitis B&C na choo kubwa waweza kuwa na sistosoma mansoni,
Ukikosa hapo nenda kaombewe pia ludia na kupima HIV
 
Back
Top Bottom