Nasimamia nachokiamini.mkubali mkatae ukweli ndo huo.
Na utando huo si fangasi kama muwazavyo, hayo ndo ya ukweli .
Mnapinga mpaka mapovu yanawatoka lakini watoto wa kike wanajua hili.
Napenda kuuliza kama ni kweli ili nawengine mkalifatilie hili.
utando huo hufanana kama maziwa mgando bt hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine.Utando huo UMENISAIDIA SANA kugundua pale napokaa mda mrefu na girl wangu hatuja SEX siku tunapokutana huwa UTANDO huo hutoka mwingi sana na hiyo hudhihirisha chumba kilikuwa hakitumiwi kilifungwa.
Na ikitokea ndani ya Muda huo Then tunapokutana na UTANDO huo kutoonekana ni Dhahiri Chumba kilikuwa kinatumiwa.Mjomba kipara jicho Moja akizama na atakapotoka hutoka Msafi sana kama alienda kuogeshwa.
Kwa maelezo hayo sasa nyie wenye wake wapenzi mlifatilie hili.Unapokaa mbali na mkeo au Rafiki yako wa kike kama atakuwa hatoki nje ya Mahusiano Lazima hao UTANDO UWAKUTE kwa wingi sana.yani hata mkipotezana week/mwezi.Lakini usipo ona hayo ujue Alikuwa anatoka nje ya mahusiano yenu.
Mytake@Na wewe fatilia mimi nimelifatilia na nimejiridhisha kuwa ni kweli kwa Upande wangu.
UPDATES.
Nawashangaa wanaopoteza muda kuchangia matusi kwenye uzi huu.kama limekugusa sepa tu...Kama una Lolote la kitaalamu zaidi eleza nielewe ila siyo kutukana.
kama huna la kuchangia si lazima uandike huwezi kufa usipoandika.
Sijaleta Uzi huu kutukana Mtu hapa.
Kijana umeeleza vizuri sana lakini nachosema mimi hayo magroup yote huwa hvyo vitu havionekani kama mna du kila siku,kwan kama mna sex daily vagina huwa safi sana na huo ukoko huwa hauji ila kama mkikaa hata one week vagina hudhalisha hzo material,alafu hii cjaiona kwa msichana 1,ni wengi.
Nakubali kuwa maumbile ya kike yapo na sura moja bt utabia wake ndo upo tofauti.
Kama unabisha mwache mkeo one week then Tumia chumba utaona nini kinatokea.
Pumba.theorymimi nilidhani wewe ni she kumbe ni he!? bty usidanganyike bro unaibiwa! huwo utando unatokana na wale wanaopendelea sana k zao kuzifukizia mara kwa mara mafukizo kama vile udi,ubani na mafukizo mengine kama hayo.
wakati wa mafukizo, ule moshi ukifukiziwa kwa wingi kuna mnyauko fulani hivi hutokea nao pia unasaidia k kuifanya iwe mnato wakati wa seksi ukiachilia mbali na manukato,pia hata kwa wale wenye bonde la mto msimbazi mafukizo yanasaidia kukausha kutokana na lile joto la moshi wake.
Uchafu unajulikana.na huo c uchafu acha kubashiri.huo ni UCHAFU KAKA, na kwa kitaalamu huyo dada hajui kuijsafi sababu huo unakuwa ni mlundikano wa uchafu unaokuwa katika CERVIC, na kuna utafiti unaodai huo uchafu mweupe huweza kusababisha cancer kwa wanaume! USHAURI- Mwambie mkeo atafute tishu au kitambaa cheupe na aweze kuwa anajisafi vizuri kwenye hilo eneo bse inaoenekana hana utaalamu wa CERVIC CLEANLINESS
we nyau kweli .. Huo ni uchafu demu wako haogi ama haisafishi Ka yake ndani so wewe unachezea dimbwi la uchafu unadhani kuwa uko salama ..mimi huo utando sitaki awe nao .. Chumvini nitaendaje na miutando hio? Siitaki bakini na slogan zenu
huo ni UCHAFU KAKA, na kwa kitaalamu huyo dada hajui kuijsafi sababu huo unakuwa ni mlundikano wa uchafu unaokuwa katika CERVIC, na kuna utafiti unaodai huo uchafu mweupe huweza kusababisha cancer kwa wanaume! USHAURI- Mwambie mkeo atafute tishu au kitambaa cheupe na aweze kuwa anajisafi vizuri kwenye hilo eneo bse inaoenekana hana utaalamu wa CERVIC CLEANLINESS
Nasimamia nachokiamini.mkubali mkatae ukweli ndo huo.
Na utando huo si fangasi kama muwazavyo, hayo ndo ya ukweli .
Mnapinga mpaka mapovu yanawatoka lakini watoto wa kike wanajua hili.
Nachokiona hapa ni kitu kidogo sana...hayo mautando ya fangasi si nayoyasema hayo nayajua.zubeda nime ku pm,umesoma?
Nje ya mada wewe.nyie hamna mademupole sana kaka kwa kujidanganya,,hyo yaweza kuwa phsiological disorder.Kumbuka kuwa kwenye uke kuna bacteria wanaosabisha acidity.Kuna wanawake wengine wanaute mdogo hahaasipofanya ngono kwa mud mrefu,mf.kutoka kwenye uzazi bado huo ute ni kidogo.
Nzi,Nanren,other animals don't do foreplay? You are wrong,animals and even birds have ways of stimulating their sexual desires - these are their foreplays.
Hivi uwa huoni beberu likitaka kumpanda mbuzi jike linavyofanya? Hata simba jike akitaka kupandwa uwa anajipitisha na kunukisha 'uke' wake kwa simba dume. Ndege wengi nao utumia njia mbalimbali katika kuamsha hamasa za sexual act,mfano angalia tausi dume anavyofanya na manyoya yake,hiyo ni njia mojawapo ya ku arouse na ku-allure sexual partner. Jamii za ndege zingine utumia sauti zenye milio mbalimbali katika kuamsha na kumvutia mwenza wa sexual act.
Inaweza ikawa si sawa kwa 100% kama binadamu,lakini hizo nazo ni foreplays zao. Pengine cha kutofautisha kidogo ni kwamba wanyama wengine na ndege wanatumia hizo mbinu ili kujamiana kwa lengo la kuzaliana na kuendeleza generation. Lakini binadamu tunatumia foreplays ili kujamiana kwa lengo la leisure kwa muda mwingi.