Nanren,other animals don't do foreplay? You are wrong,animals and even birds have ways of stimulating their sexual desires - these are their foreplays.
Hivi uwa huoni beberu likitaka kumpanda mbuzi jike linavyofanya? Hata simba jike akitaka kupandwa uwa anajipitisha na kunukisha 'uke' wake kwa simba dume. Ndege wengi nao utumia njia mbalimbali katika kuamsha hamasa za sexual act,mfano angalia tausi dume anavyofanya na manyoya yake,hiyo ni njia mojawapo ya ku arouse na ku-allure sexual partner. Jamii za ndege zingine utumia sauti zenye milio mbalimbali katika kuamsha na kumvutia mwenza wa sexual act.
Inaweza ikawa si sawa kwa 100% kama binadamu,lakini hizo nazo ni foreplays zao. Pengine cha kutofautisha kidogo ni kwamba wanyama wengine na ndege wanatumia hizo mbinu ili kujamiana kwa lengo la kuzaliana na kuendeleza generation. Lakini binadamu tunatumia foreplays ili kujamiana kwa lengo la leisure kwa muda mwingi.