Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,341
- 5,543
Yap mzima kabisa
hizi id zetu bana? Dume linaitwa Zubeda!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap mzima kabisa
Teh teh mimi namtetea kwa sababu post yake ni nzuri na inahitaji umakini sana kuijibu, lakini
wamatumbi kama wewe mnakimbilia kwenye jinsia yake, what a shame is that.....
mimi naamini kuna watu wana ubishi wa kuzaliwa na ndio wengi humu jf.
kwa hii kitu naunga mkono maana mimi mwenyewe nimeshuhudia. kama tukiwa hatujakutana na dada yenu hata kwa mwezi huwa tukisex raundi ya kwanza huwa nikichelewa kujisafisha uume huwa unakauka na kuwa na ungaunga mweupe umetanda kwenyu uume.
shida iliyopo ni kwamba ni wachache tuliobahatika kupata waaminifu na watu hawapend kuambiwa ukweli na ndio kundi kubwa la wachangia mada.
mtoa mada umeona mbali.
kwa hio wewe unaona sawa dume kuitwa zubeda? au na wewe mcameroon kama yeye?
watu waongo humu ndani,
nachojua hata ukisafisha uke,huwezi ukaumaliza utando wote since sio unatoka wote mara moja kwa mkupuo useme ukisafisha ndio basi,utoko hutoka kidogo kidogo muda wote depending on your cycle.......so to me kusafisha ni sawa ila sio kusema kwamba mtu akikutwa na utoko kama huyo kaka alivyomkuta galfriend wake,basi conclusion ni moja kuwa hajajisafisha huu ni uongo.
Infact nyie mnaosema isafishwe mara kwa mara ndio mtakuwa na hili tatizo la utoko kwa sana since ph inakuwa disturbed na kuproduce vaginal candidiasis........................
Wewe mkaka hio sio sign ya uaminifu na wala hio sio conclusion hajisafishi vizuri,however kama utoko ulikuwa excessive inaweza kuwa sign ni mgonjwa,ila kama kidogo tu ni sawa,healthy human being...
kama ni reseach basi haijatimia kwani umemutumia Demu wako tu kama kigezo, i want to prove you wrong!
kwanza kabisa namna ya vagina wetting hutofautiana kutoka mwanamke mmoja mpaka mwingine. kwa mfano kuna mwanamke hata mchezeane vipi ana wet kidogo sana! mwingine anawet sana mpaka analowanisha ile underwear yake kama atakuwa kaivaa bado, hata ukimshika tu pale juu unaweza guess hilo, lakini pia kuna anaye wet sana lakini baada tu ya mambo anakauka na yawezekana kwa awamu ya pili ya shughuli ikalazimika kupata extra lubricant, wengine ni mwanzo mwisho, na namna nyingine nyingi tu.
sasa hii ya kwako pia ni namna moja wapo kuna ute mzito na mwepesi, mmoja wapo ni kama uliousema unakuja na ukoko ukoko mwingine unakuja tu kama kamasi au sperm za kiume,hivyo huyo demu wako yupo kwenye hili group la ukoko ukoko! lazima atazitoa tu kila mnapokutana mara chache huweza kutoa laini kama kamasi lakini si kuwa hajafanya tendo hilo.
uchunguzi wako si guaranteed 100% angalia asije kujua mawazo yako atakuibia kinona....SIUNGI MKONO HOJA
Watu wanaishi kama vinyonga humu.
hahahahah si mko kundi moja kuleta mada zisizo na kichwa wala miguu ndio maana unamtetea....wacha mle jeuri yenu....
UPDATES.
Nawashangaa wanaopoteza muda kuchangia matusi kwenye uzi huu.kama limekugusa sepa tu...Kama una Lolote la kitaalamu zaidi eleza nielewe ila siyo kutukana.
kama huna la kuchangia si lazima uandike huwezi kufa usipoandika.
Sijaleta Uzi huu kutukana Mtu hapa.
Kama haina maana umechangia ya nini?
Una maneno ya kejeli.ni wazi kuwa si mwaminifu wewe na kidume chako kiki gundua itakula kwakokulisaidia bichwa lako,nadhani ule utando ulihamia kichwani....:A S-baby::A S-baby:
mimi nilijua hii topic inagusa mahusiano moja kwa moja hivyo watabisha kwa nguvu zote.
ila mtoa mada ameongea ukweli mtupu na ukweli cku zote ni maumivu.
kama we ni kidume unafikisha had mwez hamjakutana mchumba halaf mkidu ndo bila utando ujue kuna mawili
kama humsaidii mwenzako basi ujue unasaidiwa na mtu au watu kabisa.
naona wototo wa kike mnajitahd kumkosoa mtoa mada lakini amepiga ikulu. kalibia mnaumbuka na um***ya wenu.