Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

Largely facilitates penetration especially in animals other than humans (remember the other animals do not do foreplay).

Nanren,other animals don't do foreplay? You are wrong,animals and even birds have ways of stimulating their sexual desires - these are their foreplays.

Hivi uwa huoni beberu likitaka kumpanda mbuzi jike linavyofanya? Hata simba jike akitaka kupandwa uwa anajipitisha na kunukisha 'uke' wake kwa simba dume. Ndege wengi nao utumia njia mbalimbali katika kuamsha hamasa za sexual act,mfano angalia tausi dume anavyofanya na manyoya yake,hiyo ni njia mojawapo ya ku arouse na ku-allure sexual partner. Jamii za ndege zingine utumia sauti zenye milio mbalimbali katika kuamsha na kumvutia mwenza wa sexual act.

Inaweza ikawa si sawa kwa 100% kama binadamu,lakini hizo nazo ni foreplays zao. Pengine cha kutofautisha kidogo ni kwamba wanyama wengine na ndege wanatumia hizo mbinu ili kujamiana kwa lengo la kuzaliana na kuendeleza generation. Lakini binadamu tunatumia foreplays ili kujamiana kwa lengo la leisure kwa muda mwingi.
 
Last edited by a moderator:
Wewe hakuna hyo uchafu una harufu.na kama ndo hvyo bs wangeumwa weng sana...usafi wa hali ya juu.tatizo wote nje

(Kama vipi .... nipotezee )
Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
Kutokana na utafiti wako tunaomba uje na instrument ya kupimia utando wa uaminifu ambacho nitakipa jina la UTANDOMETER.

Na híi ni kutokana na vifaa vya kupimia mfano,
Umeme -voltimeter
Gravity -gravimeter
Magnet- magnetometer
Utando mweupe wa kwenye kux- UTANDOMETER

Hahahaha u make my day!
 
wanawake wanatoka na ute kutokana na kipindi na kipindi . Ukiona anatoka ute laini mwepesi ujue ni siku yai linapotoka. Then ukiona ute mzito ujue unatoka kabla ya yai na baada ya yai kutoka. Then after that inakuja dry season no ute...so usije sema gf kacheat.

Ila pia kuna ute wa ugonjwa kama unatoka na harufu mbaya au unarangi tofauti

all written here declares all the truth !!
Anaepinga hapa ni mbumbumbu wa haya mambo, bora usome utulie sio kupingapinga bila ground!!
 
:israel::israel:ha ha ha ha>>nimeipenda hii
naomba nifanye research kwanza then nitoe comments zangu
 
Hivi siku hizi watu hamfundishwa elimu ya uzazi, jinsia na nk

Mbona post inaonyesha uelewa mdogo sana wa haya mambo?
 
Huu utafiti wa Zubeda ni kiboko aisee.. angalia usije kuhamishia huu utafiti na kule tigoni tu
 
watu waongo humu ndani,
nachojua hata ukisafisha uke,huwezi ukaumaliza utando wote since sio unatoka wote mara moja kwa mkupuo useme ukisafisha ndio basi,utoko hutoka kidogo kidogo muda wote depending on your cycle.......so to me kusafisha ni sawa ila sio kusema kwamba mtu akikutwa na utoko kama huyo kaka alivyomkuta galfriend wake,basi conclusion ni moja kuwa hajajisafisha huu ni uongo.

infact nyie mnaosema isafishwe mara kwa mara ndio mtakuwa na hili tatizo la utoko kwa sana since PH inakuwa disturbed na kuproduce vaginal candidiasis........................

wewe mkaka hio sio sign ya uaminifu na wala hio sio conclusion hajisafishi vizuri,however kama utoko ulikuwa excessive inaweza kuwa sign ni mgonjwa,ila kama kidogo tu ni sawa,HEALTHY HUMAN BEING...
 
Jf siku imeingiliwa na wahuni wengi, kila mtu amekuwa mjuaji,especially mmu ina makahaba wengi na makubuhu, yani watu hawajibu post kwa facts bali kwa jinsi akili inavyompeleka na kauzoefu ka kupinga kila kitu. Kila mtu mjuaji,unakuwa mapenzi,kwanini kama huna idea na post usiipotezee tu? Mnamshambulia mtoa mada mpaka wengine huku mnatuudhi,mnaanza kumchunguza hadi jinsia yake....what a hell is that?
 
hahahahah si mko kundi moja kuleta mada zisizo na kichwa wala miguu ndio maana unamtetea....wacha mle jeuri yenu....
 
Watu wanaishi kama vinyonga humu.
 
mimi naamini kuna watu wana ubishi wa kuzaliwa na ndio wengi humu jf.
kwa hii kitu naunga mkono maana mimi mwenyewe nimeshuhudia. kama tukiwa hatujakutana na dada yenu hata kwa mwezi huwa tukisex raundi ya kwanza huwa nikichelewa kujisafisha uume huwa unakauka na kuwa na ungaunga mweupe umetanda kwenyu uume.
shida iliyopo ni kwamba ni wachache tuliobahatika kupata waaminifu na watu hawapend kuambiwa ukweli na ndio kundi kubwa la wachangia mada.
mtoa mada umeona mbali.
 
Teh teh mimi namtetea kwa sababu post yake ni nzuri na inahitaji umakini sana kuijibu, lakini wamatumbi kama wewe mnakimbilia kwenye jinsia yake, what a shame is that.....
hahahahah si mko kundi moja kuleta mada zisizo na kichwa wala miguu ndio maana unamtetea....wacha mle jeuri yenu....
 
Back
Top Bottom