Ukweli ni kwamba, huo utando huo upo, ila hautakiwi kuwepo, mwanamke anatakiwa ukisafisha vizuri kwani huo ni uchafu, na ukizidi sana hua unanuka sana, hivyo mwanamke anayeonekana na uyando kama huo haimaanishi kuwa ni mwaminifu bali ni mchafu.
Sina nia mbaya na wewe nakuelimisha kwani nina experience ya kutosha, akijua kunawa vizuri huyo gf wako hautauona huo utando kabisa. Mbaya zaidi akiwa kwenye siku zake, utasikia harufu mbaya sana. Si kitu cha kujivunia unaonekana wewe ni kijana. mwambie huyo gf wako awaone wanawake ambao ni aged wamshauri namna ya kujisafisha vizuri, kwanza huo utando si mzuri, pia nakushauri na wewe kaka ebu oa bwana, acha kumchakachua mtoto wa watu halafu baadae umkimbie uoe mwingine