Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

una hakika huyo gelo wako ni mzima....?....haugui...?

mi ninachojua ukiona utando mweupe kwenye k ni vaginal candidiasis,huyu mwenzetu anatuambia ni sign ya kutotumika! What is the pathophysiology there?
 
UPDATES.
Nawashangaa wanaopoteza muda kuchangia matusi kwenye uzi huu.kama limekugusa sepa tu...Kama una Lolote la kitaalamu zaidi eleza nielewe ila siyo kutukana.
kama huna la kuchangia si lazima uandike huwezi kufa usipoandika.
Sijaleta Uzi huu kutukana Mtu hapa.
[MENTION]
Zubeda-Mchuzi[/MENTION]........acha hasira kwani hujui hasira ya mkizi ni furaha ya mvuvi.....................kifupi utafiti wa kupitia jaribio moja ya sampuli huwa hatuiiti ni majaribio bali ni jaribio.........na matoeko yake huwezi kuyapa nafasi ya kuelezea khali nyinginezo ambazo hazifanani kimazingira na kitabia mazingira..........mie huwa sina muda wa kuchunguliachunglia naoan siyo jukumu langu......................majukumu yangu ni kula maraha tu..........................
 
Kaka ingekua vyema zaid kama ungetafita method nyngine ya kupima hiyo mhhh
 
Ukweli ni kwamba, huo utando huo upo, ila hautakiwi kuwepo, mwanamke anatakiwa ukisafisha vizuri kwani huo ni uchafu, na ukizidi sana hua unanuka sana, hivyo mwanamke anayeonekana na uyando kama huo haimaanishi kuwa ni mwaminifu bali ni mchafu.

Sina nia mbaya na wewe nakuelimisha kwani nina experience ya kutosha, akijua kunawa vizuri huyo gf wako hautauona huo utando kabisa. Mbaya zaidi akiwa kwenye siku zake, utasikia harufu mbaya sana. Si kitu cha kujivunia unaonekana wewe ni kijana. mwambie huyo gf wako awaone wanawake ambao ni aged wamshauri namna ya kujisafisha vizuri, kwanza huo utando si mzuri, pia nakushauri na wewe kaka ebu oa bwana, acha kumchakachua mtoto wa watu halafu baadae umkimbie uoe mwingine
 
Kwani anaejiita njiwa yeye ndege.
Kwani anaejiita kongosho yeye ni kongosho
Kwan we ni default kweli.
Hakuna anaenipangia kwa hilo...changia mada then Sepa.
Wote humu mna ID za uongo na Picha za Uongo.we kwangu Ndo unaona pa kuuliza na mapovu juu.
swaga za kike hizi
 
kama ulikuwa hutumii condom tayari utakuwa umeukwaa
 
Wala usijidanganye huo unaitwa utoko na niuchafu kama ule unaokaa kwenye mkono wa sweta. Mademu wasiojua kuoga vizuri ndiyo ukichomeka unaweza kuupata huo hasa asipogongwa kwa muda mrefu kwa sababu hurundikana na yeye hajui kuoga ndiyo inakuwa shida.

Demu wa namna hiyo katu siwezi kwenda chumvini!!!!!!
 
phoh!huo ni uchafu na huyo gelo wako hajui kujisafisha kabisaa!tafuta watu wa kufunda wanawake wampe shule jinsi ya kujiosha.k ina jinsi yake ya kuosha,haioshwi kama mguu kwala mkono!
 
Kwani anaejiita njiwa yeye ndege.
Kwani anaejiita kongosho yeye ni kongosho
Kwan we ni default kweli.
Hakuna anaenipangia kwa hilo...changia mada then Sepa.
Wote humu mna ID za uongo na Picha za Uongo.we kwangu Ndo unaona pa kuuliza na mapovu juu.

Sure hapa mimi nakuunga mkono, wewe ndiye uliyetengeneza profile,wewe ndio uliamua utumie jina gani,sioni tatizo katika hili kwani hata sasa wanavyokushambulia wana uhakika gani wewe ni kaka? kwa sababu tu umeanzisha thread ya girl wako? mi nadhani watu tuchangie mada tu habari ya mke au mme,mtu anajua mwenyewe,avatar jina sio inshu wadau.mtu yuko huru vile apendavyo! kinyume na hapo tutakuwa hatu act kama great thinkers
 
huo ni uchafu mwambie awe anajisafi vizuri huko kunako. usitake kutudaganya hapa sasa nyie wanaume tutawagundua vipi kama hamcheet

Akina dada muwe na kipimio cha sh*wa za wanaume zenu (kana afisa mifugo apimavyo maziwa kama yamechanganywa na maji). Ukiona imepungua baada ya tendo la ndoa jua jamaa kacheba njee ya ndoa🙂
 
Siyo uchafu huo,hutokea pale msichana anapokaa muda mrfu bila kusex,ila kama ana sex mara kwa mara huwa hauonekani.
..

Kalagabaho!!! Huyo mtu wako ni mgonjwa, na wewe ati wachekelea ni mzima. Mtu wako ana Vaginal candidiasis!!!

Vaginal candidiasis is an infection of the vagina involving overgrowth of a yeast, or fungus, known as Candida. Women who have vaginal candidiasis may experience itching and a thick, white discharge. They may notice redness and swelling around the vagina and may experience pain with urination or intercourse. The intensity of symptoms can vary from person to person.

Vaginal candidiasis is treated with antifungal medications. Several are available in the form of creams, suppositories and tablets that can be placed directly in the vagina. Some are available over-the-counter, while others require a prescription.

Akili ya kuambiwa changanya na yako!!!
 
Hakuna jipya chini ya jua.Anaehukumu mungu tu.

Kutokana na utafiti wako tunaomba uje na instrument ya kupimia utando wa uaminifu ambacho nitakipa jina la UTANDOMETER.

Na híi ni kutokana na vifaa vya kupimia mfano,
Umeme -voltimeter
Gravity -gravimeter
Magnet- magnetometer
Utando mweupe wa kwenye kux- UTANDOMETER
 
Back
Top Bottom