Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

sasa umetueleza rangi ya huo utando,ingekuwa vizuri ungetuambia na halufu yake ikoje
1.unanuka kama mzoga?
2.unanuka kama mtindi wenyewe?
3.unanuka kama ndimu?
Yani utuambie unanukajenukaje labda tunaweza kuchangia vizuri zaidi kuhusu huo utando.
 


Ni wazi kuwa kwa kutumia kidole cha kati kama unavyoshauri, haiwezekani mwanamke akaondoa hizo secretion zote. Si kazi rahisi kihivyo. Hata hivyo nakubaliana na sehemu kubwa ya maelezo yako yanayoonyesha kuwa una uelewa na unachokisema.

Kwa kuwa ni kweli kwamba maumbile ya mwanamke hutengeneza secretions, na kwa kuwa si rahisi akajisafisha mpaka ndani (labda aingize kitu kinachofanana na maumbile ya mwanamme) ni wazi kuwa mwanamke asipoingiliwa kwa muda mrefu na mwanamme, hizo secretion zitaendelea kuwepo kama mtoa hoja anavyodai.

Mwanamke asipokutana na mume kwa muda, LAZIMA MULE NDANI PATENGENEZEKE AINA FULANI YA UTANDO ambao unaweza kuonekana kwa urahisi siku atakapokutana na mume! Hiyo haimaanishi ni mgonjwa, wala haimaanishi kuwa ni mchafu. Yeyote anaweza kufanya majaribio ya hili na kupata matokeo. Tuachane na tabia ya kubisha bisha tu almuradi kuonyesha tunajua tusiyoyajua.
 
Last edited by a moderator:
huo ni uchafu mwambie awe anajisafi vizuri huko kunako. usitake kutudaganya hapa sasa nyie wanaume tutawagundua vipi kama hamcheet

Mama mmoja mume wake alisafiri kikazi kwa muda kadhaa, basi siku yule mume amerudi mama akaomba wafanye mapenzi lakini akamlaghai mue wake ili avae kondomu. Basi gemu likaanza hapa kule mume akako... Yule mama akamvua mume wake kondomu akaangalia wingi wa shahawa katika kondomu...mwisho akasema yaani miezi yote hii ndio shahawa yenyewe hii!
 
Wee mdada Zubeda mbishi sijawahi kuona. Umeweka uzi huu watu wajadili halafu unapingana na hoja za watu kwa kutetea kile unachoamini. Halafuuu.......huyo unayemuongelea hapo ni gf wako au wewe mwenyewe? Inakuwaje Zubeda ukawa na gf au ndo mambo ya 'Cameroon'?
 

soma maelezo yake zudeda mchuzi ni kidume.hii ndo jf mkuu.
 
halafu anaingia na ID tofauti,kujibu upuuzi wake....
 
Ebu acheni kudanganyana bwana, huo utando utatifautishaje na vaginal candidiasis, mwanamke kwa kawaida ambaye ni msafi anatakiwa kunawa kila siku, na kunawa tu vidole vinafika mpaka kwenye cervix kwa kama huwa unaukuta huo utando inamaana demu wako ni mchafu coz mucus hizi zikikaa muda mrefu bila kusafishwa hunuka wanawake waseme ukweli hapa. Tusizungumze lugha za mtaani na kuaminsha eti ni utaalamu. Mtoa maada atoe data ameona kwa wanawake wangapi na ametumia reagent gani kugundua kuwa utando aliouacha siku walipokutana ndo ulikuwepo walipokutana tena mara ya pili. Utadanganywa sana na mwisho wa siku unakufa kwa ngoma. Topic kama hizi mod zitolewe kabisa zinpotosha jamii
 
Mi hoi....
Hii thread bado ipo active
mambo ya R.I.M ..Au cyo
rim-research in motion
 
Kitendo cha kutumia neno 'utando' kimeharibu kabisa! Lol pole Zubeda Mchuzi! kwa majibu, ndo

great thinkers hawa wakati mwingine ujipange
 
mh hata mimi nimeshangaa maana utando mweuipe si dalili nzuri mjomba
 
Jaman huyu mtu labda hatuja mwelewa, kuna hiyo hali kwel kwa wadada tena inatokea pindi unapokua umechochea mara kadhaa hv za awali na huwa haina harufu yoyote, pia huwa haitokei aidha kwa wingi au kabisa kwa washiriki wa mara kwa mara wa tendo la ndoa. Hiyo nimeiona kwa wake zangu wa nne na mahawara 2 yani jumla wanawake 6, hvyo naunga mkono thread pengine kweli ikawa kipimo kwa wengine.
 
Mmmmh! JF wakati mwingine unaweza kupata kichaa kwa majibu yanayotolewa, kha
 
Kaka umeeleweka. Watu hawawezi kukubali kwa kuwa umewagusa. Naunga mkono hoja mia kwa mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…