Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

sasa umetueleza rangi ya huo utando,ingekuwa vizuri ungetuambia na halufu yake ikoje
1.unanuka kama mzoga?
2.unanuka kama mtindi wenyewe?
3.unanuka kama ndimu?
Yani utuambie unanukajenukaje labda tunaweza kuchangia vizuri zaidi kuhusu huo utando.
 
zubeda, kaka kwanza pole sana kwa majibu uliyoyapata. naomba nikwambie kwa exeprience yangu ya kufundisha biology for 10 yrs na nikiwa wa jinsia ya ke. kisha ukishanielea bas utajua ukamwambieje huyo mpenzi wako, ila sikusuti.

vaginal lubricant ziko za aina kuu 3 ya kwanza ni ile anayoitoa mdada ambo iko kama nyeupe(naomba nisitumie biological terms ili tuelewane) yaani uko kama rangu ya makamasi mepesi huu uwa soon baada ya period na huendelea mpaka kaibu ya siku ya kutaka kuingia ovulation ambapo hapa napo ute huu hubadilika na kuwa mwepesi zaid. hi huwa mwepesi ili kuweza kufanya sperm movement kuwa easy, na hudumu for about siku 7 hivi. hapa tena huwa mzito tena kama ule wa kwanza na huendelea kuwa mzito zaid kama vile maziwa mtindi hadi kufikia siku ya kupata hedhi. ute huu uko hivi ili kuweza kumsaidia mama kupata mimba au kumkinga na mimba. mathalan unapokuwa mzito unakuwa viscous therefore mbeg haiwez kupenya kwenda kuchavusha yai.

kadhalika wanawake wanaotumia dawa za kupanga uzazi, kama vidonge au sindano au implants huwa wanakuwa na ute mzito throughout kwani hormones hizi hupunguza uwezo wa yai kupoea mbegu kwa kupunguza zile hali muhimu zinazotakiwa kuwepo ili mimba itungwe.

napingana na hao wanaokuambia kuwa ana fangas lakin pia siyo kweli. ile ni hormonal secretion. ...

lakini pia mwambie huyo bi dada wakati wa kunawa ashike kidole chake cha kati akitumie kujiswafi kwani hayo mamgando hayapendezi machoni. ahakikishe ananawa na maji masafi bila kuweka antisceptics, aingize hicho kidole kwenye utupu wake ili autoe huo uchafu manake pia kama hajui kuutoa na jojo kali yanaweza kumfanya akanuka chupi.

kamwe asiweke sabuni wala antisceptic hukoatumie maji safi tu abayo kama aliweza ayachemshe kisha ayaache yapoe kabisa ili yasiwe na bacteria naongelea yawe salama kama ya kunywa. ndipo kwa kutumia kidole chake tena kiwe kisafi aingize huko kuosha.


Ni wazi kuwa kwa kutumia kidole cha kati kama unavyoshauri, haiwezekani mwanamke akaondoa hizo secretion zote. Si kazi rahisi kihivyo. Hata hivyo nakubaliana na sehemu kubwa ya maelezo yako yanayoonyesha kuwa una uelewa na unachokisema.

Kwa kuwa ni kweli kwamba maumbile ya mwanamke hutengeneza secretions, na kwa kuwa si rahisi akajisafisha mpaka ndani (labda aingize kitu kinachofanana na maumbile ya mwanamme) ni wazi kuwa mwanamke asipoingiliwa kwa muda mrefu na mwanamme, hizo secretion zitaendelea kuwepo kama mtoa hoja anavyodai.

Mwanamke asipokutana na mume kwa muda, LAZIMA MULE NDANI PATENGENEZEKE AINA FULANI YA UTANDO ambao unaweza kuonekana kwa urahisi siku atakapokutana na mume! Hiyo haimaanishi ni mgonjwa, wala haimaanishi kuwa ni mchafu. Yeyote anaweza kufanya majaribio ya hili na kupata matokeo. Tuachane na tabia ya kubisha bisha tu almuradi kuonyesha tunajua tusiyoyajua.
 
Last edited by a moderator:
huo ni uchafu mwambie awe anajisafi vizuri huko kunako. usitake kutudaganya hapa sasa nyie wanaume tutawagundua vipi kama hamcheet

Mama mmoja mume wake alisafiri kikazi kwa muda kadhaa, basi siku yule mume amerudi mama akaomba wafanye mapenzi lakini akamlaghai mue wake ili avae kondomu. Basi gemu likaanza hapa kule mume akako... Yule mama akamvua mume wake kondomu akaangalia wingi wa shahawa katika kondomu...mwisho akasema yaani miezi yote hii ndio shahawa yenyewe hii!
 
Wee mdada Zubeda mbishi sijawahi kuona. Umeweka uzi huu watu wajadili halafu unapingana na hoja za watu kwa kutetea kile unachoamini. Halafuuu.......huyo unayemuongelea hapo ni gf wako au wewe mwenyewe? Inakuwaje Zubeda ukawa na gf au ndo mambo ya 'Cameroon'?
 
Wee mdada Zubeda mbishi sijawahi kuona. Umeweka uzi huu watu wajadili halafu unapingana na hoja za watu kwa kutetea kile unachoamini. Halafuuu.......huyo unayemuongelea hapo ni gf wako au wewe mwenyewe? Inakuwaje Zubeda ukawa na gf au ndo mambo ya 'Cameroon'?

soma maelezo yake zudeda mchuzi ni kidume.hii ndo jf mkuu.
 
halafu anaingia na ID tofauti,kujibu upuuzi wake....
 
Ebu acheni kudanganyana bwana, huo utando utatifautishaje na vaginal candidiasis, mwanamke kwa kawaida ambaye ni msafi anatakiwa kunawa kila siku, na kunawa tu vidole vinafika mpaka kwenye cervix kwa kama huwa unaukuta huo utando inamaana demu wako ni mchafu coz mucus hizi zikikaa muda mrefu bila kusafishwa hunuka wanawake waseme ukweli hapa. Tusizungumze lugha za mtaani na kuaminsha eti ni utaalamu. Mtoa maada atoe data ameona kwa wanawake wangapi na ametumia reagent gani kugundua kuwa utando aliouacha siku walipokutana ndo ulikuwepo walipokutana tena mara ya pili. Utadanganywa sana na mwisho wa siku unakufa kwa ngoma. Topic kama hizi mod zitolewe kabisa zinpotosha jamii
 
Mi hoi....
Hii thread bado ipo active
mambo ya R.I.M ..Au cyo
rim-research in motion
 
Kitendo cha kutumia neno 'utando' kimeharibu kabisa! Lol pole Zubeda Mchuzi! kwa majibu, ndo

great thinkers hawa wakati mwingine ujipange
 
mh hata mimi nimeshangaa maana utando mweuipe si dalili nzuri mjomba
 
Jaman huyu mtu labda hatuja mwelewa, kuna hiyo hali kwel kwa wadada tena inatokea pindi unapokua umechochea mara kadhaa hv za awali na huwa haina harufu yoyote, pia huwa haitokei aidha kwa wingi au kabisa kwa washiriki wa mara kwa mara wa tendo la ndoa. Hiyo nimeiona kwa wake zangu wa nne na mahawara 2 yani jumla wanawake 6, hvyo naunga mkono thread pengine kweli ikawa kipimo kwa wengine.
 
Mmmmh! JF wakati mwingine unaweza kupata kichaa kwa majibu yanayotolewa, kha
 
Napenda kuuliza kama ni kweli ili nawengine mkalifatilie hili.utando huo hufanana kama maziwa mgando bt hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine.Utando huo UMENISAIDIA SANA kugundua pale napokaa mda mrefu na girl wangu hatuja SEX siku tunapokutana huwa UTANDO huo hutoka mwingi sana na hiyo hudhihirisha chumba kilikuwa hakitumiwi kilifungwa.Na ikitokea ndani ya Muda huo Then tunapokutana na UTANDO huo kutoonekana ni Dhahiri Chumba kilikuwa kinatumiwa.Mjomba kipara jicho Moja akizama na atakapotoka hutoka Msafi sana kama alienda kuogeshwa.Kwa maelezo hayo sasa nyie wenye wake wapenzi mlifatilie hili.Unapokaa mbali na mkeo au Rafiki yako wa kike kama atakuwa hatoki nje ya Mahusiano Lazima hao UTANDO UWAKUTE kwa wingi sana.yani hata mkipotezana week/mwezi.Lakini usipo ona hayo ujue Alikuwa anatoka nje ya mahusiano yenu.Mytake@Na wewe fatilia mimi nimelifatilia na nimejiridhisha kuwa ni kweli kwa Upande wangu.UPDATES.Nawashangaa wanaopoteza muda kuchangia matusi kwenye uzi huu.kama limekugusa sepa tu...Kama una Lolote la kitaalamu zaidi eleza nielewe ila siyo kutukana.kama huna la kuchangia si lazima uandike huwezi kufa usipoandika. Sijaleta Uzi huu kutukana Mtu hapa.
Kaka umeeleweka. Watu hawawezi kukubali kwa kuwa umewagusa. Naunga mkono hoja mia kwa mia
 
Back
Top Bottom