Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zubeda, kaka kwanza pole sana kwa majibu uliyoyapata. naomba nikwambie kwa exeprience yangu ya kufundisha biology for 10 yrs na nikiwa wa jinsia ya ke. kisha ukishanielea bas utajua ukamwambieje huyo mpenzi wako, ila sikusuti.
vaginal lubricant ziko za aina kuu 3 ya kwanza ni ile anayoitoa mdada ambo iko kama nyeupe(naomba nisitumie biological terms ili tuelewane) yaani uko kama rangu ya makamasi mepesi huu uwa soon baada ya period na huendelea mpaka kaibu ya siku ya kutaka kuingia ovulation ambapo hapa napo ute huu hubadilika na kuwa mwepesi zaid. hi huwa mwepesi ili kuweza kufanya sperm movement kuwa easy, na hudumu for about siku 7 hivi. hapa tena huwa mzito tena kama ule wa kwanza na huendelea kuwa mzito zaid kama vile maziwa mtindi hadi kufikia siku ya kupata hedhi. ute huu uko hivi ili kuweza kumsaidia mama kupata mimba au kumkinga na mimba. mathalan unapokuwa mzito unakuwa viscous therefore mbeg haiwez kupenya kwenda kuchavusha yai.
kadhalika wanawake wanaotumia dawa za kupanga uzazi, kama vidonge au sindano au implants huwa wanakuwa na ute mzito throughout kwani hormones hizi hupunguza uwezo wa yai kupoea mbegu kwa kupunguza zile hali muhimu zinazotakiwa kuwepo ili mimba itungwe.
napingana na hao wanaokuambia kuwa ana fangas lakin pia siyo kweli. ile ni hormonal secretion. ...
lakini pia mwambie huyo bi dada wakati wa kunawa ashike kidole chake cha kati akitumie kujiswafi kwani hayo mamgando hayapendezi machoni. ahakikishe ananawa na maji masafi bila kuweka antisceptics, aingize hicho kidole kwenye utupu wake ili autoe huo uchafu manake pia kama hajui kuutoa na jojo kali yanaweza kumfanya akanuka chupi.
kamwe asiweke sabuni wala antisceptic hukoatumie maji safi tu abayo kama aliweza ayachemshe kisha ayaache yapoe kabisa ili yasiwe na bacteria naongelea yawe salama kama ya kunywa. ndipo kwa kutumia kidole chake tena kiwe kisafi aingize huko kuosha.
huo ni uchafu mwambie awe anajisafi vizuri huko kunako. usitake kutudaganya hapa sasa nyie wanaume tutawagundua vipi kama hamcheet
Wee mdada Zubeda mbishi sijawahi kuona. Umeweka uzi huu watu wajadili halafu unapingana na hoja za watu kwa kutetea kile unachoamini. Halafuuu.......huyo unayemuongelea hapo ni gf wako au wewe mwenyewe? Inakuwaje Zubeda ukawa na gf au ndo mambo ya 'Cameroon'?
bora umeuliza mana lol!una hakika huyo gelo wako ni mzima....?....haugui...?
kulisaidia bichwa lako,nadhani ule utando ulihamia kichwani....:A S-baby::A S-baby:
lakini pia mwambie huyo bi dada wakati wa kunawa ashike kidole chake cha kati akitumie kujiswafi
Uwii mbav zangu mie
Kaka umeeleweka. Watu hawawezi kukubali kwa kuwa umewagusa. Naunga mkono hoja mia kwa miaNapenda kuuliza kama ni kweli ili nawengine mkalifatilie hili.utando huo hufanana kama maziwa mgando bt hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine.Utando huo UMENISAIDIA SANA kugundua pale napokaa mda mrefu na girl wangu hatuja SEX siku tunapokutana huwa UTANDO huo hutoka mwingi sana na hiyo hudhihirisha chumba kilikuwa hakitumiwi kilifungwa.Na ikitokea ndani ya Muda huo Then tunapokutana na UTANDO huo kutoonekana ni Dhahiri Chumba kilikuwa kinatumiwa.Mjomba kipara jicho Moja akizama na atakapotoka hutoka Msafi sana kama alienda kuogeshwa.Kwa maelezo hayo sasa nyie wenye wake wapenzi mlifatilie hili.Unapokaa mbali na mkeo au Rafiki yako wa kike kama atakuwa hatoki nje ya Mahusiano Lazima hao UTANDO UWAKUTE kwa wingi sana.yani hata mkipotezana week/mwezi.Lakini usipo ona hayo ujue Alikuwa anatoka nje ya mahusiano yenu.Mytake@Na wewe fatilia mimi nimelifatilia na nimejiridhisha kuwa ni kweli kwa Upande wangu.UPDATES.Nawashangaa wanaopoteza muda kuchangia matusi kwenye uzi huu.kama limekugusa sepa tu...Kama una Lolote la kitaalamu zaidi eleza nielewe ila siyo kutukana.kama huna la kuchangia si lazima uandike huwezi kufa usipoandika. Sijaleta Uzi huu kutukana Mtu hapa.