Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

Una maneno ya kejeli.ni wazi kuwa si mwaminifu wewe na kidume chako kiki gundua itakula kwako

acha kuongea kuhusu kidume changu,at least hakiko thick.... kama wewe,wewe nahisi umebakiza akili za kuvukia bara bara tu..hamna lingine kichwani mwako....
 
Hiyo itakuwa ni uchafu. Mfundishe bibie namna ya kunawa k, cose km ulivyosema ukikaa mda mrefu hamjakutana unakutana na uchafu huo, ila unapokutana nae mara kwa mara inakuwa poa, ni hivi, ukikutana nae inakuwa km unazibua mtaro mchafu, then ukiendelea kusex nae it means mtaro unazidi kuzibuka na kutakata, hivyo huo ni uchafu, km huamini jaribu kunusa itackia harufu mbaya, pia km unaweza jaribu kutext mdomoni utaskia ladha mbaya ya chumvi ya kuoza, pia km wataka uhakika zaidi nendeni hospital mumweleze atawajibu km hivi nilivyokuambia. Zaidi huyo atakuawa anawa tu km ananawa kichwa hajui k inanawishwa na kupigishwa mswaki! Pia km wataka kuamini, kaa hata miezi bila sex then siku ukiamua mna meet ingia nae bafuni mpige maji na mfundishe jinsi ya kunawa na kupiga mswaki wa k then ndio mfanye mambo nakuhakikishia hutoona hali hiyo. So huo ni uchafu.
 
huyu gal friend wako sijui kama ni wewe mwenyewe, maana jina na story yenyewe haviendani, ni mgonjwa, suffering from trichomanas vaginalis. achane kujidantanya, nendeni mkapate matibabu. yaani utu uzima huu tuliokua nao tusijue haya miaka yote, wewe toto la juzi ndio unakuja kutufunda hapa.. excuse me...
 
jestina hiyo njia ndo komesha yenu maana huwa mnajifanya mnazikausha na kuzitia ndimu.
hapo mmekwama ndo maana mnajitahd kupotosha watu
 
wewe ndio huyo huyo zubeda,endelea kuamini upuuzi...unaelekezwa bado unaamini ujinga nyie ndio mnaoua albino kwa kuamini upuuzi.watu wote hao wanavyokuelekeza ni sawa na bure bichwa ziiiiitooooooo kama uji wa mchele khaa....
Mbona unatoa mapovu.Limekugusa nini? Ukweli haupingwi kwa maneno ya kejeli..unapingwa kwa hoja.
utando wa fangasi una harufu,na mwanamke wa namna hyo akido na mwanaume mwenye fangasi mapajani ni balaa si kujikuna huko.
Utando wa kuonyesha chombo hakitumiki huwa ni wa furaha na hauna harufu kama wa fangasi.
 


we acha kudanganya watu mi huwa inanitokea na nshaenda hosp na npo clean.
suala lililopo ni kwmba ukimegwa linabaki ni swala la mwili kujityune na co kuoga na kundimuka
 


pole wewe google vaginal candidiasis....acha kujichoresha humu,and this is my last post to you....sinaga muda na majitu majinga.:eek2:
 

Ha ha ha kuwah kuja duniani si isue,nani hajui tatizo la hosptali wewe,au ndo una amka.
Funga chumba chako safiri then ukirudi ukikuta kisafi hakina hata vumbi bs rudi koment hapa
 
jestina hiyo njia ndo komesha yenu maana huwa mnajifanya mnazikausha na kuzitia ndimu.
hapo mmekwama ndo maana mnajitahd kupotosha watu

endelea kuamini unavyoamini,imani ni kitu cha ajabu ndio maana wengine wanaabudu ng'ombe...mie sikushangai....biology ilikupiga chenga,usinipotezeee muda anti zubeda.
 
pole wewe google vaginal candidiasis....acha kujichoresha humu,and this is my last post to you....sinaga muda na majitu majinga.:eek2:

Dunian watu wote wajinga wewe kama si mjinga bs utakuwa R.I.P
 

Msome ngarambe umwelewe
 
Last edited by a moderator:

Msome ngarambe umwelewe
 
Last edited by a moderator:
endelea kuamini unavyoamini,imani ni kitu cha ajabu ndio maana wengine wanaabudu ng'ombe...mie sikushangai....biology ilikupiga chenga,usinipotezeee muda anti zubeda.
Ni furaha kwangu kupigwa chenga na biology kuliko kupgwa chenga na ubadhilifu wa ktk nje ya ndoa au mahusiano,
 
ni uchafu huo mwambie aoge vzr kaka.imekula kwako kama unaamini ktk uchafu kua huibiwi

Hata mimi najua ni uchafu unaoitwa utoko,mwanamke asipokuwa msafi anakuwa nao,huyo dem wake ni mchafu tu wala sio mwaminifu anatia kinyaa.
 

Ukianza kufatilia haya mambo madogo madogo, yawezekana ukaokota makopo baadae. Watu wanagundua mambo ya maana, wewe unakimbizana na kugundua utando mweupe!Nonsense!
 
huyu bi kaka anazungumzia utoko but si sign kuwa demu hagogwi bali ni kutojisafisha,unaelimishwa mbishi ulileta ya nini
 
Ukianza kufatilia haya mambo madogo madogo, yawezekana ukaokota makopo baadae. Watu wanagundua mambo ya maana, wewe unakimbizana na kugundua utando mweupe!Nonsense!
we toka umeanza fatilia makubwa
Umegundua nini na umri wako unaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…