Ha ha ha,mkuu hakuna sehemu nimesema nina gari.Haina noma Mkuu usijali na tupo pamoja. Upo wapi nije unipe angalau hata lifti kwenda kwangu Bonyokwa kwani nimetoka lindoni sasa.
Vunga basi mkuu. Nimehariri mkuu.
Mkuu soma nilivyoandika. We jamaa changamoto sana. Tupo pamoja.Kwanini umehariri tena Mkuu? Kwani ulitakiwa uandikeje labda? Hata mimi najifunza kutoka kwako Mkuu hivyo usichoke kunifundisha!
Ha ha ha,mkuu hakuna sehemu nimesema nina gari.
Mkuu soma nilivyoandika. We jamaa changamoto sana. Tupo pamoja.
Sijasema hivyo sehemu yeyote mkuu. Jamaa ndio amesema gari ya pinki ni ya wanawake.Ila lakini si una mpango wa kununua gari rangi ya pink Mkuu au?
Duu jamaa umeongea point sana wallah,be blessedMatunzo ya huo mdubwana.Amuulize Dr. Kimei wa CRDB!.Dogo anatafuta show off.ambayo itagarimu pensheni yake.huu mdubwana kwa miaka miwili tu unaweza kula zaidi ya 20M kuutunza.kuna life ya uzeeni.ni kituko sana vijana wa leo kuishi kiusanii usaniii.Cjajua kama wazazi wake anawatunzaje.maana mara nyingi namwonaga na vibint vidogo .kwenye sehemu za starehe
Natania mkuu. Ila usinunue gari la pinkUchune basi dah,ishakuwa nongwa. Ha ha ha
Kaka tafuta pesa,dunia ina mambo mazuri mazuri ya kupendeza sana. Achana na stori za vijiweni.Natania mkuu. Ila usinunue gari la pink
Shame on you too una ki vitz cha pink alafu unajitapa. Huko ni kutudhalilisha wanaume wenzakoWatu wengine mnaboa sana, wewe huna hata guta unang'ang'ana eti kuna gari za kike na kiume. Shame on you
Kingereza sijui. Vipi haya nikosoe nimekosea wapi. Acha kutoka povu.Tehe tehe! Pesa huna kiingereza pia hujui. Huna uelewa ya vyombo wa vya moto ndio maana umekariri za kike za kiume.
Sifanyi kazi sheli kama wewe. Nijue ili iwejeUnajua hata bei ya petrol kwa lita? Ha ha ha
Wewe ni kama. Mimi mkuu. We are truly definition of real men. Agiza Heineken. Nakuja kaka umenikosha mnoHiyo ndinga ndio yenyewe, iko "masculine" hasa.
Sisi wanaume tukiufuma mkwanja mahali tunapaswa kubeba ndinga kama hizi, halafu unaendesha tu, hiyo habari ya mafuta sijui service, yatawezekana tu huko huko.
Nishakwambia acha kutoka povu. In short sikai vijiweni niko busy na maisha yangu.Kaka tafuta pesa,dunia ina mambo mazuri mazuri ya kupendeza sana. Achana na stori za vijiweni.