Utangazaji unalipa

Utangazaji unalipa

Yaweza ikawa hela ya mafao ya huko alikotoka,but kama kaamua kuwekeza barabaran badala ya kny ardhi,basi ni chaguo lake. Maana kupanga ni kuchagua nae amechagua gari.
 
Matunzo ya huo mdubwana.Amuulize Dr. Kimei wa CRDB!.Dogo anatafuta show off.ambayo itagarimu pensheni yake.huu mdubwana kwa miaka miwili tu unaweza kula zaidi ya 20M kuutunza.kuna life ya uzeeni.ni kituko sana vijana wa leo kuishi kiusanii usaniii.Cjajua kama wazazi wake anawatunzaje.maana mara nyingi namwonaga na vibint vidogo .kwenye sehemu za starehe
Duu jamaa umeongea point sana wallah,be blessed
 
Hiyo ndinga ndio yenyewe, iko "masculine" hasa.

Sisi wanaume tukiufuma mkwanja mahali tunapaswa kubeba ndinga kama hizi, halafu unaendesha tu, hiyo habari ya mafuta sijui service, yatawezekana tu huko huko.
 
Watu wengine mnaboa sana, wewe huna hata guta unang'ang'ana eti kuna gari za kike na kiume. Shame on you
Shame on you too una ki vitz cha pink alafu unajitapa. Huko ni kutudhalilisha wanaume wenzako
 
Tehe tehe! Pesa huna kiingereza pia hujui. Huna uelewa ya vyombo wa vya moto ndio maana umekariri za kike za kiume.
Kingereza sijui. Vipi haya nikosoe nimekosea wapi. Acha kutoka povu.
 
Hiyo ndinga ndio yenyewe, iko "masculine" hasa.

Sisi wanaume tukiufuma mkwanja mahali tunapaswa kubeba ndinga kama hizi, halafu unaendesha tu, hiyo habari ya mafuta sijui service, yatawezekana tu huko huko.
Wewe ni kama. Mimi mkuu. We are truly definition of real men. Agiza Heineken. Nakuja kaka umenikosha mno
 
Kaka tafuta pesa,dunia ina mambo mazuri mazuri ya kupendeza sana. Achana na stori za vijiweni.
Nishakwambia acha kutoka povu. In short sikai vijiweni niko busy na maisha yangu.
 
Gari kama mpya itasumbua nini sasa ? Na kwa wajanja ukinunua gari mpya usikae nayo zaidi ya miaka 3 uza unanunua new model maisha yanaenda hayo mambo ya mafuta na service kama umeweza kununua gari sidhani hivyo vitu vinaweza kukushinda labda uwe mbululazzzzz
 
Back
Top Bottom