Utani connection

Utani connection

Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"...halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..
Sipendagi kuchezea salio..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Athisa
Aisa
Amya
Anewa
Astylea
Aofa
Awishinga
Ayoua
Aaa
Amerrya
Axmasa,
Unashangaa nn? Tatizo lako ukiambiwa nenda Shule ulikua unakimbilia Vibanda vya Mihogo,Na mishikaki najua hujaelewa, kama hujaelewa soma tena halafu toa Herufi A ya kwanza na A ya mwisho, watumie wenzako wote wasiojua kusoma!
 
COMEDY:
*Usifikiri Watu wote ni Wajinga Hawaelewi Mafumbo.*

Jamaa na Mke wake walikuwa bado Wamelala Asubuhi.

Ghafla Mtu akapiga Hodi kwenye mlango.

Mke akaenda kufungua mlango.

Bahati mbaya kumbe ni mpango Wake wa Kando.

*MKE:* Unataka nini we Mpumbavu?

*MUME:* Nani huyo una Mtukana?

*MKE:*Kuna Mtu hapa
Anakichwa kama Nenda urudi Baadae.

*Mpango wa kando:* Nawewe Pua kama... Poa.

*MKE:* Miguu kama Masaa
Mawili hivi.

*Mpango wa kando:* Masikio kama Sitachelewa.

*MKE:* Ondoka hapa mjinga wewe! Akafunga Mlango.

*MUME:* Mwambie ana Magoti kama Sitoki leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*_Mademu wa siku hizi bhana....ukimtokea kama katoka kuachika utasikia_* *_"please...sitaki mapenzi tena maana mpenzi wangu niliekuwa nae_* *_kaniachia Shimo kubwa moyoni mwangu"_*
*_Dada zangu kuweni wakweli...kila mtu anajua wapi umeachiwa shimo kubwa..wala sio moyoni...semeni ukweli bhana_* [emoji23][emoji23][emoji23]

**cm yng cjui ina matatizo gan inajpoct yenyew
 
PANUAA! Naogoopa!
PANUAA! Naogoopa!
Ni maneno yakitokea chumbani yakamfanya mpita njia ajisogeze dirishani.
Waogopa nn?
Ntatoka damu nyingi.
Kwani ndio mara yako ya kwanza?
Ndio!
Jikaze bac
cwezi,
kwani Hujawahi hata cku 1?
Ndio tangu nizaliwe cjawahi kung'oa jino"
mpita njia akakasirika: tunatiana nyege bure kumbe hii zahanati! Kumanina zenu .[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
"KAUL MBIU YA WIKI HII"
Mpenzi wako akikuambia wewe ni My Number One, amekuweka wazi kuwa kuna,
No 2
No 3
No 4
No 5.....!
Na akikuambia kuwa wewe ni " Special " ujue kuna " Mitumba "
Akikuambia " Baby " ujue anamiliki watu wazima zaidi yako.
T A KE C A R E:[emoji87][emoji87][emoji87]
 
*Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. Hujakoroga!!!!*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Girl: Mambo baby

Boy: Poa baby, nambie

Girl: Naweza kukuomba kitu?

Boy: Chochote tu nambie baby

Girl: Unaweza kutengeneza beats kwa mdomo, kisha unitumie.

Boy: sorry baby, sijui hata kuimba wala kutengeneza beats, afu niko ofisini.

Girl: Kama ukiweza kufanya ivo, leo ntakuja nikupe vitu vyako vizuri vile [emoji39][emoji5][emoji8]....

Boy: [emoji15][emoji15]




Sekunde si nyingi girl akapokea hii...... [emoji116]
 
WAKATI WEWE UNAAMKA ASUBUHI NA KUMTXT MPENZI WAKO "ZA ASUBUHI/KUNA MWANAUME MWINGINE ANAMTXT MUDA HUO HUO NA KUSEMA USIKU WA JANA ULIKUWA POAH SANA ASANTE KWA PENZI LAKO

[emoji23][emoji23][emoji23] BRO KAMA UNAMUOGOPA MUNGU BASI KUMBUKA NA KUMUOGOPA MWANAMKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom