Utani connection

Utani connection

*Girl:-*
I Had Sex With 4 Boys And You Had Sex With 8 Girls,
But Everybody Calls Me Prostitute And They Call You A Real Man,
Please Explain Me Why ?

*Boy:-*
When A Lock Is Opened By Many Keys,
It Becomes A Bad Lock.
But When A Key Opens Many Lock,
It Becomes Master key...!...

[emoji23][emoji23][emoji108][emoji108][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23]
 
*JAMANI NDUGU ZANGU NIMEPOTEA ATAKAE NIONA POPOTE ATOE TAARIFA POLISI*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa mmoja kaumwa na nyoka akaanza kucheka adi machozi yakamtoka wakamuhuliza unacheka nini wakai umeumia Jamaa akajibu ninamsikitikia nyoka Mimi Nina ukimwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*_Sheikh alikodi bodaboda, wakat wapo safarini akamwambia dereva_*
*_Zima muziki_*
*_dini hainiruhusu kuskiliza nymbo za kidunia_*
*_Kwa sababu wakati wa mtume hakukuwa na redio_*
*_Dereva akatii akazima... halafu akasimamisha bodaboda na kusimama pembeni_*
*_Shekh akamuuliza Dereva "Nin tena!?" dereva akamjibu_*
*_Wakati wa mtume hakukuwa na bodaboda, shuka usubiri ngamia..!!!*[emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia imejaa visasi khaaaa!
 
*mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI*
*ndugu zangu msopenda ujinga naomba tuvumiliane[emoji23][emoji23][emoji23]
 
*DUNIA .... IMEKWISHA. !!!*

Mtoto baada ya kutajirika alimwambia baba yake, "Enhe!
baba nikulipe nini ili tusijuane tena!

"Baba akamjibu, "Nipe mkeo nimnyonye maziwa kama
wewe ulivyomnyonya mke wangu!

" Mtoto, mmmh, "Basi mzee wangu, nilikuwa nakutania tu,
yaishe.

Baba: *" Nyoooooo....."*

*"Ulikuwa unanibipu .... Basi nimekupigia.*

[emoji134]‍♂ [emoji5][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kuna mzee mmoja alimwambia mtoto wake nirudishie shahawa yangu iliyokuumba wewe, mtoto jeuri akawa mpole ghafla
 
Nmechoka kutembelea Raba mkiskia mtu anauza ndala mnistue.....
 
Kulikuwa na mganga wa kienyeji wa kizaramo.
Kaweka tangazo anatibu magonjwa yote na gharama yake ni laki moja,usipopoma ugonjwa wako unarudishiwa na laki nyingine.
Mchaga akafikiria akaona hiyo ni fursa,kesho yake akaenda kwa mganga mzaramo na mambo yakawa hivi
Mganga; Karibu nikusaidie nini

Mchaga; Mimi ni mgonjwa

Mganga;Unaumwa nini

Mchaga; Huwa sisikii ladha nikila chochote

Mganga; Akamwambie mkewe niletee chupa na 27,mke akaileta na kumpa mganga.Mganga kampa mchaga na kumwambia anywe kimiminika kilichopo ndani.

Mchaga;Akahamaki mbona ni mikojo

Mganga;Umeshapona nenda

Mchaga akaona laki yangu imeliwa haiwezekani.Karudi kesho yake tena na mambo yakawa kama ifuatavyo

Mchaga; Nimerudi tena lakini leo ugonjwa wangu ni mwingine,nina tatizo la kusahau

Mganga;Ok,kamtuma tena mkewe lete chupa namba 27

Mchaga; Kahamaki tena,hiyo si ndiyo ile ya jana iliyokuwa na mikojo!!

Mganga;Umepona nenda kumbe unakumbukumbu
 
KUTESA KWA ZAMU.

JANA

BOY: Bby wangu mambo
GIRL: [emoji106]
BOY: Haya nimekumiss sana bby
GIRL: [emoji120]
BOY: Kuna tatizo lolote mpnz?..
GIRL: [emoji135]
BOY: Huwez kutype bby?
GIRL: [emoji126]
BOY: [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


LEO
GIRL: Bby mambo vp mwenzio nina shida
BOY: [emoji101]
GIRL: Nina shida km ya laki mbili hivi bby
BOY: [emoji15]
GIRL: Jmn bby ndo nini sasa hivo
BOY: [emoji144]
GIRL: Ujue sikuelew bby
BOY: [emoji45]
GIRL: Bby kwn huwez ongea?
BOY: [emoji124]
GIRL: [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]malipo ni hapa hapa duniani..!!
Iyo inaitwa nenda urudi
 
[emoji71] *Mzungu alisafiri na Mbongo[emoji67]kwenye ndege[emoji574]*

*wakakaa siti moja*

*Mzungu[emoji71]akamdharau�� sana Mbongo*
*nakujiona anajua kila kitu duniani!,*

*Akamwambia Mbongo waulizane maswali*
*na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na*
*endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=*

*Mzungu [emoji71]akauliza ni nchi ipi ilishindwa*
*kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?*

*Mbongo[emoji67] akatoa Jero/ 500 kuashiria hajui.*[emoji19][emoji23]

*Na yeye akamuuliza Mzungu, ni kitu gani*
*kikienda juu kina miguu minne na kikirudi*
*chini kina miguu mitatu?*��

*Mzungu akafikiria[emoji4] akakosa jibu akatoa*
*100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,*

*akauliza ni nini hicho?*

*Mbongo akatoa Jero/ 500 kuashiria hata yeye*
_hajui!._
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
*MAADA YA TABIA.*

Mwalimu aliingia darasani akauliza wanafunzi;
*Mwalimu:* "ukitoka shule huwa unafanya nini"?
*Mwanafunzi wa kwanza:* "ninaenda kwa Erasto Magingi kununua bangi".
*Mwanafunzi wa pili:* "huwa naenda kwa Erasto Magingi kununua sigara".
*Mwanafunzi wa tatu:* "huwa naenda kwa Erasto Magingi kununua gongo."
*Mwanafunzi wa nne:* "huwa naenda kwa Erasto Magingi kununua Madawa ya kulevya".
*Mwalimu:* Mmmh!? Na wewe!?
*Mwanafunzi wa tano:* "huwa nakaa Nyumbani ninajisomea na kufanya home work".
*Mwalimu:* 'Safi sana kijana mzuri mwenye mfano wa kuigwa! unaitwa nani?'
Mwanafunzi: *'Erasto Magingi'.*

[emoji107][emoji106]✍[emoji117][emoji115][emoji15][emoji23][emoji15][emoji115][emoji118]✍[emoji106][emoji107]
 
[emoji71] *Mzungu alisafiri na Mbongo[emoji67]kwenye ndege[emoji574]*

*wakakaa siti moja*

*Mzungu[emoji71]akamdharau�� sana Mbongo*
*nakujiona anajua kila kitu duniani!,*

*Akamwambia Mbongo waulizane maswali*
*na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na*
*endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=*

*Mzungu [emoji71]akauliza ni nchi ipi ilishindwa*
*kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?*

*Mbongo[emoji67] akatoa Jero/ 500 kuashiria hajui.*[emoji19][emoji23]

*Na yeye akamuuliza Mzungu, ni kitu gani*
*kikienda juu kina miguu minne na kikirudi*
*chini kina miguu mitatu?*��

*Mzungu akafikiria[emoji4] akakosa jibu akatoa*
*100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,*

*akauliza ni nini hicho?*

*Mbongo akatoa Jero/ 500 kuashiria hata yeye*
_hajui!._
[emoji23][emoji23][emoji23]
duuuh basi tena , maana hata nami nimewaza kitu cha hivyo nikawa nangojea jibu la mzungu kumbe daaah, mzungu chenga tupu.

Nimecheka sana leo.
 
Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE....

Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha kweli aiseee
 
SIPENDI TABIA HII MIMI

Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama inavyonikera mimi, NITUMIE NAMBA YAKO YA SIM INBOX tujadiliane tuone ni kwa namna gani tunaweza kulikabili hili tatizo!!!


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Dem: "BABY TANGU TUFANYE MAPENZI MBONA UNIJALI KAMA ZAMANI??"*
*Jamaa akajibu: UMEWAHI KUONA RAIS ANAFANYA KAMPEN WAKATI AMESHINDA?!!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nice
*HII KALI [emoji23]*
*Mgojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika.*

*Daktari: hilo tatizo lilianza lini?*

*Mngojwa:tatizo lipi?*

*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

[emoji51][emoji51]UKITAKA KUJUA AKILI YA MWANAMKE.. Mwambie Dada una nywele nzur wakati kavaa wigi utasikia "Asante".....

Akili zao wanazijua wenyewe!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Pale unapokuwa umefulia sana...Mgeni anakutembelea Maskani kwako....Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeni......Unafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite .....Bwana....Bwana. ...Bwana....Weee*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Apo ndo utagundundua morinyo anajiskiaje
Kumnunua *POGBA*
 
Back
Top Bottom