Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mhimu nimemwaga mengine hayanihusuUsipomfanya vizuri mpaka kiuno kikateguka na utando ukatoka lazima awe na kinyongo.
Lazima aishi kwenye wimbi la hasira.
Kuna wanaume wamejisahau, wanadhani wakimpa mimba mwanamke ndiyo wamemfikisha mlima Kilimanjaro.
Unaweza kuzaa watoto 10 yet ndani ya miaka 20 ya ndoa yenu ikawa umemfikisha mara 2 tu.
Atakuua abaki peke yake au abaki na mchepuko wake kwa uhuru zaidi.
Mkuu we chama gani cha siasa?Usipomfanya vizuri mpaka kiuno kikateguka na utando ukatoka lazima awe na kinyongo.
Lazima aishi kwenye wimbi la hasira.
Kuna wanaume wamejisahau, wanadhani wakimpa mimba mwanamke ndiyo wamemfikisha mlima Kilimanjaro.
Unaweza kuzaa watoto 10 yet ndani ya miaka 20 ya ndoa yenu ikawa umemfikisha mara 2 tu.
Atakuua abaki peke yake au abaki na mchepuko wake kwa uhuru zaidi.
Si lazima akuue kwa rungu la kichwa, hata kelele za kila siku zinaua
kileleni ndo wapi
mi sina cha kusema hapo
Dah! Sasa dosho kafata nini tena hapo mkuu
kujua kama hayo anayoyasema ni ya kweliDah! Sasa dosho kafata nini tena hapo mkuu
Wacha uchoyo!Mhimu nimemwaga mengine hayanihusu