Utani lakini kuna kaukweli: Usipomkula vizuri, lazima akuue

Usipomfanya vizuri mpaka kiuno kikateguka na utando ukatoka lazima awe na kinyongo.
Lazima aishi kwenye wimbi la hasira.

Kuna wanaume wamejisahau, wanadhani wakimpa mimba mwanamke ndiyo wamemfikisha mlima Kilimanjaro.

Unaweza kuzaa watoto 10 yet ndani ya miaka 20 ya ndoa yenu ikawa umemfikisha mara 2 tu.

Si lazima akuue kwa rungu la kichwa, hata kelele za kila siku zinaua
Tangu upate laana za kuua waTanganyika naona unawehuka taratibu mkuu
 
Usipomfanya vizuri mpaka kiuno kikateguka na utando ukatoka lazima awe na kinyongo.
Lazima aishi kwenye wimbi la hasira.

Kuna wanaume wamejisahau, wanadhani wakimpa mimba mwanamke ndiyo wamemfikisha mlima Kilimanjaro.

Unaweza kuzaa watoto 10 yet ndani ya miaka 20 ya ndoa yenu ikawa umemfikisha mara 2 tu.

Si lazima akuue kwa rungu la kichwa, hata kelele za kila siku zinaua
Wafuasi wa Samuya na sisiemu akili zao hazina akili.

Inaonyesha kabisa hauwajui wanawake paseee.
 
Back
Top Bottom