UTANI: Ndege iliyowabeba Wachezaji wa Yanga SC leo kumekutwa kumeibiwa Headphones, Mikate, Keki, Soda, Bia na Sabuni za Chooni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mkiambiwa Ustaarabu anauweza Simba SC tu muwe mnaamini. Wachezaji wa Yanga SC leo wamepanda tu Ndege wameshuka na Mali za Ndege na sasa nasikia baadhi yao wanapekuliwa hivyo Vitu. Mpaka sasa Mchezaji Molinga amekutwa na Keki kadhaa katika Begi lake huku Kocha wao Zahera amekutwa na Headphones za hiyo Kampuni ya Ndege husika.

Hivi kwanini Yanga SC mnatuaibisha hivi Sisi Watanzania? Ni lini mmesikia Simba SC hasa Wachezaji wake ambao wameshazoea hadi Kuchoka Kupanda Ndege wakiiba hovyo Vitu vilivyomo ndani ya Ndege? Sijui mpoje yaani nyie nyie ni Masikini na nyie nyie tena ni Wezi ndani ya Ndege.

Halafu kwa Uwizi huu wa Wachezaji wenu ndani ya Ndege leo ndiyo mnataka Simba SC tuwaungeni mkono na tuwashangilieni?
 
Lol, halafu ndio wanasema timu pendwa kwenye chama cha mboga mboga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkiambiwa Ustaarabu anauweza Simba SC tu muwe mnaamini. Wachezaji wa Yanga SC leo wamepanda tu Ndege wameshuka na Mali za Ndege na sasa nasikia baadhi yao wanapekuliwa hivyo Vitu. Mpaka sasa Mchezaji Molinga amekutwa na Keki kadhaa katika Begi lake huku Kocha wao Zahera amekutwa na Headphones za hiyo Kampuni ya Ndege husika.

Hivi kwanini Yanga SC mnatuaibisha hivi Sisi Watanzania? Ni lini mmesikia Simba SC hasa Wachezaji wake ambao wameshazoea hadi Kuchoka Kupanda Ndege wakiiba hovyo Vitu vilivyomo ndani ya Ndege? Sijui mpoje yaani nyie nyie ni Masikini na nyie nyie tena ni Wezi ndani ya Ndege.

Halafu kwa Uwizi huu wa Wachezaji wenu ndani ya Ndege leo ndiyo mnataka Simba SC tuwaungeni mkono na tuwashangilieni?
Itakua kiosk cha Mangi sio ndege.
 
am not sure kama ni ushamba au kutokuwa na ufahamu An Eagle ??

Hivi zile keki zinazowekwa ndani ya ndege unafiki kubeba ni uwizi??? au unadhani ukila ukiacha anakula mtu mwingine?

Kwa taarifa yako hata Headphones ukitaka unabeba tu, vile ni vidisposal tu, headphones ulizotumia wewe unataka aje atumie mwengine? Sie tuliozoea panda ndege kama Quatar, Ethiopian airline, Emirates hivyo vitu vipo vingi tu majumbani kwetu!

so acha ushamba!
 
Mkiambiwa Ustaarabu anauweza Simba SC tu muwe mnaamini. Wachezaji wa Yanga SC leo wamepanda tu Ndege wameshuka na Mali za Ndege na sasa nasikia baadhi yao wanapekuliwa hivyo Vitu. Mpaka sasa Mchezaji Molinga amekutwa na Keki kadhaa katika Begi lake huku Kocha wao Zahera amekutwa na Headphones za hiyo Kampuni ya Ndege husika.

Hivi kwanini Yanga SC mnatuaibisha hivi Sisi Watanzania? Ni lini mmesikia Simba SC hasa Wachezaji wake ambao wameshazoea hadi Kuchoka Kupanda Ndege wakiiba hovyo Vitu vilivyomo ndani ya Ndege? Sijui mpoje yaani nyie nyie ni Masikini na nyie nyie tena ni Wezi ndani ya Ndege.

Halafu kwa Uwizi huu wa Wachezaji wenu ndani ya Ndege leo ndiyo mnataka Simba SC tuwaungeni mkono na tuwashangilieni?
Ndege umewahi Kupanda?
 
Mbumbumbu bwana, mmekaa miaka 5 hamjapanda ndege, juzi hapa baada ya mhindi kuanza kununua TFF na marefa wake tayari mshasahau kuwa hakuna timu hapa Tanzania imezurura hewani zaidi ya Yanga?
 
Miaka mitano mlikalisha makalio kariakoo mkitazama angani yanga wakipasua anga leo matako yanalia mbwata eti. Ushamba mzigo

Back
Top Bottom