Utani pembeni: Taifa stars kwa kwenda mbele, Afrika mashariki tuko nyuma yenu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wana Afrika Mashariki tunaungana kuishabikia timu ya Tanzania dhidi ya Senegal, mambo ya utani na mengine yote tunaweka pembeni, tunawatakia kila la heri, ila siku ikitokea mechi baina ya Tanzania VS Kenya, hapo kila mtu kwao.
Senegal ni hatari lakini mjitie moyo, mpambane, tunawaombea ushindi kwa vyovyote vile.
 
bila shaka, lakini ki ukweli ni kwamba jamaa wa chips mayai wanakaa kubeba magoli kwa kikapu!
 
Kama timu ikifanyaga vizur wanasema ni juhudi za Serikali ya awamu ya tano basi hata ikifanya vibaya pia waseme vivyo hivyo....
 
Asante sana lkn haturndi popote, tunaweza sana majungu na fitina sio mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…