MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Wana Afrika Mashariki tunaungana kuishabikia timu ya Tanzania dhidi ya Senegal, mambo ya utani na mengine yote tunaweka pembeni, tunawatakia kila la heri, ila siku ikitokea mechi baina ya Tanzania VS Kenya, hapo kila mtu kwao.
Senegal ni hatari lakini mjitie moyo, mpambane, tunawaombea ushindi kwa vyovyote vile.
Senegal ni hatari lakini mjitie moyo, mpambane, tunawaombea ushindi kwa vyovyote vile.