Utani wa jad kati ya wanaume wa dar na wa mikoan sijui hata utaisha lini

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu


Kuna huu utan kati ya wanaume wa dar na wamikoan

Huu utan ni wa kitambo sana na sijui hata kama utaisha lini..

Lakin wana ume wa dar huwa wanaonekana kuelemewa sana sana

Sijui utaishaga lin huu utan

LONDON BABy
 
Nina mpango wa kwenda dar kutoka mkoani nikae kama mwaka mmoja ivi( kwa special issue)! Na mimi nitakua mwanaume wa dar? Maana kwa kweli sipendi ilo jina kabisaa[emoji16][emoji16]
 
Hizo koment hapo juu nacheka sana aisee
 
Hahaaaa kuku wa week tatu ndo kuku gan hao mkuu? Huu ni utan au ni kweli? Kuku wa week tatu ndo maana hawa watu mdebwedo
Ahaha niliwai shuhudia kuku ana nyoya za kuhesabika afu wamekaa kikundi km mbuzi wanaochungwa[emoji23][emoji23] unaweza dhani kuku ni walemavu wa miguu au akili
 
Lakini kazi zote mnazohangaika nazo mikoani hua mnategemea wanaume wa Dar tutengeneze hela ili mlete mizigo yenu mabibo kkoo tandale na temeke. Uchumi wa Tz 60% unashikiliwa na wanaume wa Dar.

Aisee wanaume wa Dar popote mlipo kamata Pepsi moja nakuja kulipa. Nyie ndo mnaompa Zito Kabwe jeuri ya kuchambua takwimu za uchumi. Achana na wanaume wa Dar banaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…