Utani wa jadi kati ya Tanzania na Kenya

Utani wa jadi kati ya Tanzania na Kenya

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Wadau naomba kuuliza, hivi ni kwa nini nchi mbili hasa wananchi wake wanapenda kushindana, kubishana, kutambiana kwa kila jambo? Mara hichi Kenya hamna ila kipo Tanzania, mara Kenya bora kuliko Tanzania yaani kila sehemu ni mashindano. Kwa nini Kenya wasijilinganishe na Rwanda, Uganda au Ethiopia na badala yake ni Tanzania? Yaani ukiukuta ubishi hadi wengine wanakasirika.

Naomba kujua asili ya utani au ushindani wa namna hii ni nini?

Je zipo nchi nyingine zina utani au ushindani wa namna hii?

Mwisho ni nchi gani kati ya hizi mbili ina maendeleo katika

1.michezo
2.utamaduni
3.usafi
4.elimu
5.miundombinu
6.maliasili
7.demokrasia
8.kilimo
9.biashara
10.maisha bora kwa wananchi
11.makazi bora
12.teknolojia
13.mengineyo.

Nisaidieni.
 
Ni ujinga tu, nchi maskini kushindana ubora.
 
tatizo ni wakenya...wakati tz inafanya mambo yake kimya kimya. Kenya ni tofauti wanapofanya jambo wanajipima na tz....ikiwa kwa mfano Kenya ingekuwa imejenga complex kubwa ya chuo kikuu kama udom...EAC pasingekalika. Lakini tz ni kimya kama vile hakipo.
 
Angalia thread zao humu utajua!!!
Mwalimu akiwaitaga nini sijui!!!

Ila West gate na Alshabaab kama wamewaweka sehemu yao halisi vile!!!
 
Wadau naomba kuuliza, hivi ni kwa nini nchi mbili hasa wananchi wake wanapenda kushindana, kubishana, kutambiana kwa kila jambo? Mara hichi Kenya hamna ila kipo Tanzania, mara Kenya bora kuliko Tanzania yaani kila sehemu ni mashindano. Kwa nini Kenya wasijilinganishe na Rwanda, Uganda au Ethiopia na badala yake ni Tanzania? Yaani ukiukuta ubishi hadi wengine wanakasirika.

Naomba kujua asili ya utani au ushindani wa namna hii ni nini?

Je zipo nchi nyingine zina utani au ushindani wa namna hii?

Mwisho ni nchi gani kati ya hizi mbili ina maendeleo katika

1.michezo
2.utamaduni
3.usafi
4.elimu
5.miundombinu
6.maliasili
7.demokrasia
8.kilimo
9.biashara
10.maisha bora kwa wananchi
11.makazi bora
12.teknolojia
13.mengineyo.

Nisaidieni.

Kwa sababu Wastani wa IQ za Watu wa Tanzania na Kenya ni 70 wakati Dunia Nje ya hapo kuanzia 85!
 
Kwa sababu Wastani wa IQ za Watu wa Tanzania na Kenya ni 70 wakati Dunia Nje ya hapo kuanzia 85!

Amakweli ww IQ yako ni 70 au -70 with inferiority complex. Yo are more than hypothetically stupid kuliko hao wakenya wako. :msela:
 
]Amakweli ww IQ yako ni 70 au -70 with inferiority complex.[/COLOR] Yo are more than hypothetically stupid kuliko hao wakenya wako. :msela:

Vyovyote vile unavyotaka lkn huo ndio UKWELI kwamba IQ ya Watanzania na Wakenya ni chini ya wastani wa kiwango kinachokubalika Duniani, kumbuka nimetumia neno wastani nafikiri tulifundishwa darasa la nne kwenye somo la hisabati kama sikosei jinsi ya kutafuta Wastani!

Wakati tanzania ilikua ina pigania ukombozi wa bara la afrika kenya wslikua wanajenga uchumi ns kujiona kwamba ni nchi bora zaidi EA .sasa hivi TZ imeshituka na kuanza kujenga uchumi wake basi wakenya wanaweweseka wanaogopa kupitwa ..si unajua usimuamshe aliye lala ..
 
Angalia thread zao humu utajua!!!
Mwalimu akiwaitaga nini sijui!!!

Ila West gate na Alshabaab kama wamewaweka sehemu yao halisi vile!!!

Mwalimu aliwaita "Manyang'au, A man eat man society! Tatizo la Wakenya ni superiority complex kwamba wao ni bora, wamesoma sana, ni matajiri na super power ya Afrika mashariki, kwa hiyo ili wajisikie hivyo hupenda kujilinganisha na Watanzania na kwa hiyo kutufanya punching bag yao!
 
Wakati tanzania ilikua ina pigania ukombozi wa bara la afrika kenya wslikua wanajenga uchumi ns kujiona kwamba ni nchi bora zaidi EA .sasa hivi TZ imeshituka na kuanza kujenga uchumi wake basi wakenya wanaweweseka wanaogopa kupitwa ..si unajua usimuamshe aliye lala ..

yah sure huja kosea mkuu hata mm ninayo experience wakati nasoma uganda kulikuwa na hiyo kitu ya ushindani kati yetu Watanzania na wakenya tulikuwa. But nlicho gundua despite all that wanatukubali sana na hata waganda pia wanatupa much respect. Haya yote yanatokea cos we are the giants of East Africa no other nation in EAC can compare herself with either of us!!:argue::argue::argue::argue::argue::argue::argue:
 
Swali lenyewe umeuliza kiushabiki, hivyo hutapata jibu bila ushabiki. Umeuliza swali na kuanza ushabiki hata kabla hujajibiwa. Iko ndani ya damu huwezi badilika.
 
Back
Top Bottom