Wadau naomba kuuliza, hivi ni kwa nini nchi mbili hasa wananchi wake wanapenda kushindana, kubishana, kutambiana kwa kila jambo? Mara hichi Kenya hamna ila kipo Tanzania, mara Kenya bora kuliko Tanzania yaani kila sehemu ni mashindano. Kwa nini Kenya wasijilinganishe na Rwanda, Uganda au Ethiopia na badala yake ni Tanzania? Yaani ukiukuta ubishi hadi wengine wanakasirika.
Naomba kujua asili ya utani au ushindani wa namna hii ni nini?
Je zipo nchi nyingine zina utani au ushindani wa namna hii?
Mwisho ni nchi gani kati ya hizi mbili ina maendeleo katika
1.michezo
2.utamaduni
3.usafi
4.elimu
5.miundombinu
6.maliasili
7.demokrasia
8.kilimo
9.biashara
10.maisha bora kwa wananchi
11.makazi bora
12.teknolojia
13.mengineyo.
Nisaidieni.