THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Hoja hii ni nzito sana ambayo mimi mwenyewe kama mwanaJF sina mamlaka ya ku-dictate thread hii kwa maana ya unyeti wake, kwa uchache tu ninachoweza kueleza ni kwa nini nimefikia kufikiri hivyo;
1. Jamii Forums ninayoijua mimi ni ile iliyojaa wanazuoni na wabobezi wenye uwezo na weledi wa kila aina.
2. Kuna watu wanaokubaliana kutokubaliana kutoka na upepo wa kisiasa lakini ndani ya mioyo yao ni watu wanaoelewana na kupendana sana, kama wote wakiamua kuwa kitu kimoja kwa moyo mmoja na kwa dhati tegemea mazuri mengi zaidi na zaidi.
3. Vyama vingi vyeye nguvu na ushawishi wa kisiasa ulimwengu vilianza kwenye majukwaa kama haya the next was history.
4. Ni mtaji wa wanachama.