Utani wa Simba na Yanga pembeni, bus la SIMBA kuingia kinyume nyume leo kwenye mechi ya kirafiki ilikua ni nini?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu

Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16] Cc ephen_ min -me
View attachment 3083745
 
Wazee wa ulozi
20240831_181625.jpg
 
Iyo timu imebaki mikononi mwa waganga wa kienyeji tu kama wanaroga mpaka mechi ya kirafiki unadhani wako Sawa hao vichwani mwao!
 
Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu

Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16] Cc ephen_ min -me
View attachment 3083745
Na bado wakatoa sare🤣
 
Walihitaji kudraw attention ya watu kama wewe mleta lil uz vert
 
Hiyo sehemu ni barabara ya kuingilia uwanjani ukuingia kwa mbele kule hakuna pa kuzeuzia vizuri, so alichofanya dereva ni kurudi nyuma ili gari ikae mkao wa kutoka, ungekua unaishi hapa mwenge usingeanzisha huu uzi
Unafikiri anayo akili ya kutambua hilo, akili inayowaza uchawi muda wote ni hasara kwa jamii
 
Kama kurudi reverse kunamfanya mtu afanikiwe jambo lake,basi na wewe fanya hivyo ili umpite Mo Dewji kwa utajiri,

Ni aibu na fedheha kubwa sana kwenye zama kama hizi,kwa mtu kuamini ujinga wa kiasi hiki.
 
Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu

Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16] Cc ephen_ min -me
View attachment 3083745
C:C Lamomy
cocastic
Kibopa na kibonge bosi wa mavocha wenu kapost huku. Anawaita 😀😃😄😁
 
Back
Top Bottom