Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Iyo timu imebaki mikononi mwa waganga wa kienyeji tu kama wanaroga mpaka mechi ya kirafiki unadhani wako Sawa hao vichwani mwao!Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu
Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16] Cc ephen_ min -me
View attachment 3083745
Mizizi na tunguliWazee wa uloziView attachment 3083746
Na bado wakatoa sareπ€£Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu
Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16] Cc ephen_ min -me
View attachment 3083745
Hapo ni njia panda gorofa za changβombe keko kwenda mgulani na uwanja wa B.mkapa ?Wazee wa uloziView attachment 3083746
Fungua na wewe basiUzi tayari π
Kama familia yenu yoteTakataka rubbish urea ..thread yako inaonesha jins gan ulivyo kua zero gololi kichwani. Damn fool.
π€£ππππNa bado wakatoa sareπ€£
Maajabu ya dunia hayo.Iyo timu imebaki mikononi mwa waganga wa kienyeji tu kama wanaroga mpaka mechi ya kirafiki unadhani wako Sawa hao vichwani mwao!
Unafikiri anayo akili ya kutambua hilo, akili inayowaza uchawi muda wote ni hasara kwa jamiiHiyo sehemu ni barabara ya kuingilia uwanjani ukuingia kwa mbele kule hakuna pa kuzeuzia vizuri, so alichofanya dereva ni kurudi nyuma ili gari ikae mkao wa kutoka, ungekua unaishi hapa mwenge usingeanzisha huu uzi
Haujui kitu kaa kimya unafikiri Kila siku anafanyaga hivyo dereva wenuUnafikiri anayo akili ya kutambua hilo, akili inayowaza uchawi muda wote ni hasara kwa jamii
C:C LamomyAu ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu