mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 844
kauli za wanachuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaha yeah... Sisi tulikuwa tuwaita wateule... Unakuta mtu anagombewa kama mpira wa kona... Na ikishtukiwa ni headache...Nimekumbuka mbali sana.
Kipindi nasoma ilikuwepo hiyo "tutakaa wote" almaarufu kama kutengeneza "kijiji"[emoji23][emoji23][emoji23].
Usiombe kijiji kipanguliwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
4G LTE unakumbuka Enzi hizo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah hata nikilipiwa ada shule sitaki tena.Hahahhaha yeah... Sisi tulikuwa tuwaita wateule... Unakuta mtu anagombewa kama mpira wa kona... Na ikishtukiwa ni headache...
Ndiyo, hapo kila mtu ni mbabe kwenye topic yake.[emoji2][emoji2]wazee wa formation...mnawai mapemaaa
Ile ni kwikwi ndugu... Afu unataka quantum physics eti[emoji47][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah hata nikilipiwa ada shule sitaki tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa nakujaza tuu.Ile ni kwikwi ndugu... Afu unataka quantum physics eti[emoji47]
Plus the cold weather[emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa nakujaza tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Plus the cold weather[emoji36][emoji36]
I'll prepare crystal report on that[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kukukomoa nitasoma. Siwezi kukupa ushindi hivi hivi[emoji23]I'll prepare crystal report on that[emoji23][emoji23]
Kwa kukomaa nakuvulia kofia[emoji23][emoji23].... Nahisi ulikuwa mteule[emoji1487][emoji1487]Na kukukomoa nitasoma. Siwezi kukupa ushindi hivi hivi[emoji23]