UTANI WA WANACHUO

UTANI WA WANACHUO

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
kauli za wanachuo
IMG-20190614-WA0015.jpeg
IMG-20190614-WA0013.jpeg
IMG-20190615-WA0005.jpeg
 
Nimekumbuka mbali sana.
Kipindi nasoma ilikuwepo hiyo "tutakaa wote" almaarufu kama kutengeneza "kijiji"[emoji23][emoji23][emoji23].
Usiombe kijiji kipanguliwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

4G LTE unakumbuka Enzi hizo?
Hahahhaha yeah... Sisi tulikuwa tuwaita wateule... Unakuta mtu anagombewa kama mpira wa kona... Na ikishtukiwa ni headache...
 
[emoji2][emoji2]wazee wa formation...mnawai mapemaaa
 
Hahahhaha yeah... Sisi tulikuwa tuwaita wateule... Unakuta mtu anagombewa kama mpira wa kona... Na ikishtukiwa ni headache...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah hata nikilipiwa ada shule sitaki tena.
 
Back
Top Bottom