Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Tatizo lako unamdharau Mbwigaeeee?Pumba
ni kupita tumfupa ulionshinda fisi atauweza mbwiga? ....kina zito walishindwa hapo .....anyway huwez jua labda mzaramo anambinu mbadala
Hiv bado unasikiliza clouds tu?Mwanadada mwenye sauti ya kumnyofoa nyoka shimoni, Diva wa clouds FM wamekuwa wakitaniana sana na Mzee Mbwiga Ambugwike ambaye Mara kipindi cha michezo kiishapo usiku hubaki kwa muda akianza kumtania Diva. Ooohh Mara beibeeehh, Mara mtoto mzuurriiii, mtoto mlaiiiinnii, Mara umependeza nk. Ikumbukwe wanawake wanapenda kusifiwa. Naona Mbwiga atakuja kupita pale. Yangu macho!!!
Huu utabiri wako uwapelekee ShilawaduMwanadada mwenye sauti ya kumnyofoa nyoka shimoni, Diva wa clouds FM wamekuwa wakitaniana sana na Mzee Mbwiga Ambugwike ambaye Mara kipindi cha michezo kiishapo usiku hubaki kwa muda akianza kumtania Diva. Ooohh Mara beibeeehh, Mara mtoto mzuurriiii, mtoto mlaiiiinnii, Mara umependeza nk. Ikumbukwe wanawake wanapenda kusifiwa. Naona Mbwiga atakuja kupita pale. Yangu macho!!!