Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Mwanadada mwenye sauti ya kumnyofoa nyoka shimoni, Diva wa clouds FM wamekuwa wakitaniana sana na Mzee Mbwiga Ambugwike ambaye Mara kipindi cha michezo kiishapo usiku hubaki kwa muda akianza kumtania Diva. Ooohh Mara beibeeehh, Mara mtoto mzuurriiii, mtoto mlaiiiinnii, Mara umependeza nk. Basi Diva naye hubaki kuchekacheka tu. Ikumbukwe wanawake wanapenda kusifiwa. Naona Mbwiga atakuja kupita pale. Yangu macho!!!