slow_learner
Senior Member
- Nov 24, 2016
- 139
- 110
- Thread starter
- #21
Kwa sababu unataka kuuliza [emoji3]Kwanini nikuulize?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu unataka kuuliza [emoji3]Kwanini nikuulize?
Muda stahiki ni masaa hayo 5 usifanye haraka kwa uchache na haraka zakoMkuu..!
Fridge langu huwa lina uwezo wa kuhifadhi barafu 50 kwa wakati mmoja.
Sasa huwa nikiweka barafu 20 huwa zinaganda kwa masaa 5, leo nataka nigandishe 15 tu..!
Unafikiri baada ya muda gani zitakuwa zimeshaganda zote?
Kujibu hivi tuu nimesha kugundua...[emoji23]Unafikiri kupunguza kipimo kunaathiri ufanisi katika kazi? La hasha muda wa kugandisha utabaki kuwa ule ule.
Endapo kutakuwa na ulazima bila shakaUtanilipa?