Utanipenda imeendelea kuvunja rekodi

Utanipenda imeendelea kuvunja rekodi

Acha kuishi kwa comparison kama mtoto wa kike. Maisha hayako hvo.
Hayo ndio maisha wewe unadhani tuzo wanapewaje bila ya vitu kama hivi vya comparison au timu zinachukuaje kombe kama sio kwa comparison wakikuangalia wewe unapointi nyingi kuliko wenzako ndio unachukua kombe,au ngumi wanaangalia nani kapigwa ngumi nyingi na zimetua kunapo basi wewe ndio mshindi kwa hiyo comparison ndio maisha ya ushahidi zaidi kuliko kuongea kwa hisia zako.
 
Haihusu music. Tunaishia kusikia Toto lake tifa, shangingi lake zari, na majina kibao. Creativity gani ya nyimbo INA majina ya family yake kiasi hiki ukasema this is music. Stupidity yupu. UPE imeua ufikiri nchi hii. Balaa

Cjui unamaana gan mkuu bt km ni kutaja majina ya familia yake hta hko majuu mbona hii inahappen sana, mf.recently ni chris brown na mwanae plus kanye na baby north wake
 
hiyo ni nyimbo ya familia yake na wavuta bange wenzake akina fella

Tatizo wabongo mabwege xan,Angalia movie ya Krishna party 1&2,Krishna kaact na baba take mzazi,hao waindi wakifanya wabongo.macho juu juu.Nilivokua mnyonge kijubu cnaga.Tafuta nyimbo ya Jay z na Beyonce wameshirikishana MTU na mchumbae.
 
Kumbe Wabongo bado sana kwenye fani ya mziki, yaani "Utanipenda" wa Diamond nao ni wimbo wa kuujadili? In fact, nionavyo mimi ni kuwa Diamond ana sifa ya kupigiwa chepuo tu, hasa na Ikulu ya Kikwete, period!

Rais wa Tanzania ni Mgufuli! Unaelewa hiyo au?
 
Back
Top Bottom