samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Kakupa taarifa kuwa ndani ya wiki UTANIPENDA ya DIAMOND imefikisha viewerz 1m ndani ya youtube.(kama hujapenda pita kimya hii ni celeb forum)kwahiyo sisi tufanyaje sasa:what:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakupa taarifa kuwa ndani ya wiki UTANIPENDA ya DIAMOND imefikisha viewerz 1m ndani ya youtube.(kama hujapenda pita kimya hii ni celeb forum)kwahiyo sisi tufanyaje sasa:what:
Hayo mengine tupe wewe,ila yeye katuletea habari aliyoipenda yeye.Only 1M? Umeangalia likes na dislikes? Poor u
Hayo ndio maisha wewe unadhani tuzo wanapewaje bila ya vitu kama hivi vya comparison au timu zinachukuaje kombe kama sio kwa comparison wakikuangalia wewe unapointi nyingi kuliko wenzako ndio unachukua kombe,au ngumi wanaangalia nani kapigwa ngumi nyingi na zimetua kunapo basi wewe ndio mshindi kwa hiyo comparison ndio maisha ya ushahidi zaidi kuliko kuongea kwa hisia zako.Acha kuishi kwa comparison kama mtoto wa kike. Maisha hayako hvo.
Kwa mujibu wa hisia zako na ushabiki wako ila tukienda kwenye vigezo huyo zamunda wako haonekani.Asa iv ni tym ya king zamunda domo tupa kwa dustbin
Haihusu music. Tunaishia kusikia Toto lake tifa, shangingi lake zari, na majina kibao. Creativity gani ya nyimbo INA majina ya family yake kiasi hiki ukasema this is music. Stupidity yupu. UPE imeua ufikiri nchi hii. Balaa
hiyo ni nyimbo ya familia yake na wavuta bange wenzake akina fella
Kumbe Wabongo bado sana kwenye fani ya mziki, yaani "Utanipenda" wa Diamond nao ni wimbo wa kuujadili? In fact, nionavyo mimi ni kuwa Diamond ana sifa ya kupigiwa chepuo tu, hasa na Ikulu ya Kikwete, period!
Rais wa Tanzania ni Mgufuli! Unaelewa hiyo au?