Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mlikuwa wapi kujua yote haya mkuu!?Hii inatufundisha, tuwekeze zaidi kwenye uzao uliopo ndani ya ndoa kwa kuwa ndio uzao utakao kuhurumia huko mbeleni.
Afrika hatuna kambi ya kutunza wazee, ukichezea kizazi chako jiandae kwa mateso huko uzeeni.Afrika mzazi anazaa ili kumtegemea mtoto kiuchumi
Inasikitisha
Ni ukweli ila hamuishi nao,,, wanaume uzeeni mna maisha magumu sana sababu furaha yako itategemeana sana na huko ulikotoka kama ulimnyanyasa mkeo kwa micheps basi jiandae na wewe kufanyiwa hivyo hivyo,,, akienda kwa watoto wa michep, anakutana na sura kauzu,,,,, hawakukosea waliosema fainali uzeeni
Kila siku tunajifunza kupitia watu.Mlikuwa wapi kujua yote haya mkuu!?
Hiyo nzuriKuna mzee mmoja huku mtaani anatumiwa kama mfano, aliwekeza kwa watoto wa michepuko na kuwatelekeza watoto wa ndoa, sasa hivi anaomba msaada.
Watoto wa nje ya ndoa au wa michepuko, hawana tija katika maendeleo yako hasa pale utakapowahitaji; wao wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa hujikita kwa mama zao.
Wakiwa wadogo wao na mama zao watakuhitaji katika kugharamia malezi n.k ila wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa, sahau kuambiwa asante; vingineyo, mama zao labda wawe wamefariki ndio baba anaweza kuona matunda ya hao watoto.
Hii inatufundisha, tuwekeze zaidi kwenye uzao uliopo ndani ya ndoa kwa kuwa ndio uzao utakao kuhurumia huko mbeleni.
Nahitimisha kwa kusema, utanufaika na watoto uliozaa nje iwapo mama zao watakuwa walishafariki.
Njooni kwa mada.
Wa nje ndio mama zao anawapa sumu ya kutosha, bora wa ndani watakuwa wanakuona ona.Mbona ni watoto wote tu (wa ndani na nje) huwekeza kwa mama zao. We mzee jipange kivyako usidhani kuna mtoto atakua na time na wewe maana wanawake hawakosagi kuacha kuwalisha sumu hata uwe mtakatifu kiasi gani.