Utanzania wa watanzania hauondoshwi na kelele za wanaharakati uchwara

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
WATANZANIA wana sifa moja kubwa sana ambayo mpaka leo mataifa mengine duniani wanashindwa kuelewa ni watu wa aina gani. Watanzania ni watu ambao wanaunganishwa kwenye jamii zao kwa mambo ya kijamii ikiwemo misiba na sherehe na mambo mengine ya namna hiyo.

WAKATI nchi zingine watu wanaalikwa tena kwa kadi maalumu kwenda kuhudhuria misiba hata kama ni ya jirani yako kwa watanzania hicho kitu hakipo na hakiwezi kuwepo. Misiba na jambo la kijamii na wanajamii wote wanahudhuria.

KWENDA kutembelea wafiwa na kuwapa pole na faraja wanapopatwa na misiba ni jambo la kitanzania haswa na ni moja ya mambo yanayotofautisha watanzania na watu wa mataifa mengine.

NDIYO maana leo hii unaona watu mbali mbali wakiwemo akinba Sheikh Ponda wamekwenda kutoa pole kwa Mheshimiwa Rais kwa msiba mkubwa uliompata. Na bado watu wengine sana wanakwenda kwa ajili ya kutoa pole huko nyumbani kwa Mheshimiwa Rais kwa kuwa huo ndiyo utanzania na hivyo ndivyo watanzania wanaishi na wamekuwa wakiishi hivyo kwa miaka mingi sana.

SHEIKH PONDA si ni mwanaharakati mwenzao kwenye mambo yao huko wanakobishana na serikali kwenye kila kitu! Mbona amechukua hatua na kwenda kuhani msiba na kutoa pole huko Kizimkazi? Mbona hatujawasikia wakisema afukuzwe kwenye harakati zao au mbona hatujasikia wakisema hawafai kuendelea kuandamana nao kwenye harakati zao?

MBOWE ni miongini mwa watu waliokwenda kutoa pole kwenye msiba huu lakini tunachokiona ni wahuni wanaojiita wanaharakati walikuwa radicalize na chuki za wanaharakati wakisema Mbowe kwenda kumpa pole Mheshimiwa Rais anatakiwa afukuzwe kwenye chama!..

NAJIULIZA kama hawa watu wanatumia akili hizi za kawaida ambazo Mungu kampa kila mtu. Yaani mbowe anafukuzwa uanachama kwa kuwa kaenda kwenye msiba? Au kwa kuwa kafanyaje yaani?

MBOWE alishastaafu siasa zenu na aliwaaga. Sijajua kwa nini mnamfuatilia kwenye maisha yake na sijajua kwa nini hamumuachi akaishi maisha anayoyataka baada ya kustaafu siasa za chama chenu.

UTANZANIA wa watanzania na desturi zao haziwezi kubadilishwa na chuki zinazopandikizwa na wanaharakati kwa watanzania ndiyo maana leo hii nchi imeshasonga mbele lakini wao bado wako kwenye mambo ya 2025 na uchaguzi..Nchi imeshasonga mbele wao bado wako kwenye blah blah za sijui katiba mpya.. Yaani katiba gani kwanza na kuhusu nini ? kwani nchi haina katiba au?

NILITARAJIA wataanza kumvurumishia matusi Sheikh Ponda kwa kuwa yeye ni miongoni mwa watu waliokwenda kutoa pole kwenye msiba ule lakini wamekaa kimya na hawajui waanzie wapi LAKINI wamechonga sana kuhusu Mbowe..

KWA CHADEMA kupitia kwenye haya mnayoyapitia leo ni matunda ya kutokusikiliza mlipokuwa mnaambiwa kuhusu kuwapa chama chenu watu wahuni na wanaharakati uchwara. Waliwavuta kwenye ajenda yao ya kuvuruga uchaguzi na mkakubali kuingia kwenye mtego huo na mkaondoa chama kwenye uchaguzi na mkagomea mpaka kusaini kanuni za uchaguzi mkidhani nchi itashindwa kufanya uchaguzi lakini Oktoba 2025 ilifika na ikapita na sasa watu wanatazama 2030..

WATU wanatazama 2030 lakini nyie bado mko 2025 na hamjawahi kuondoka hapo ! Na hamjui mnaondokaje mmebaki kubwekabweka tu maana mlidhani mwisho wa Tanzania ulikuwa umefika lakini kila inayoitwa leo nchi inasonga mbele na ya kale yamepita huku mkiona mbele ya macho yenu..

ENDELEENI na huu ujinga mnaoufanya halafu mwisho wa siku mtaona kama mtakuwa na chana kinaitwa CHADEMA na mwisho wa siku mtakuja kujua kuwa siasa na harakati uchwara haviwezi kuchanganyika..

KAMA nyie hamtaki kwenda kutoa pole kwenye msiba hayo ni matatizo yenu na hatuwezi kuwaingilia na kuwakataza lakini hamna uwezo na hamtakaa muwe na uwezo wa kuzuia nani kwa kwenda nani wa kutokwenda kwa kuwa watanzania hawajawahi kuishi maisha hayo mnayoyataka waishi...

MWISHO ni kwamba " Makamu mwenyekiti alirudishia passport yake baada ya kuongea na mkurugenzi wa usalama wa taifa nchini alipohitaji kwa safari na anaendelea kusafiri nayo" 😁

HSETQ8pXsAs09zz.jpg
HSETQ8qWcAUS8Kg.jpg
 
View attachment 3669532View attachment 3669533
ni muhimu sana wananchi wote kudumisha mila na desturi za kiTanzania zilizojengwa katika misingi ya utu na ubinadamu usio na mipaka ya kidini, kikabila au kisiasa, na huo ndio uTanzania wetu 🐒
 
Jizi na lipenda rushwa at work. Endelea kupost
 
KWA NINI ULAZIMISHE POLE?? MBONA HATUJAONA OCTOBER 29 UNATOA POLE?
 
Back
Top Bottom