Utaoa yupi hapa!!

Utaoa yupi hapa!!

Ina utamu gani hiyo ya Joanah, radha ni ile ile tu usidanganyike kihivyo mkuu. Pengie utamchapa huyo Joanah ukajalia mwenyewe kujiuliza kwa nini ulizama naye baada ya kuona kumbe hana radha yeyote kabeba handaki tu lililojaa maji.
Hahaha mkuu mbona unabifu nao hawa viumbe[emoji23] [emoji23]
 
Mkuu 'nonsense' hayupo kwny hyo list,chagua aliyepo kwny list mkuu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ntaaanza na mmoja mmoja mpaka wote, kwani nikimuoa mmoja nikiwaangalia wengine roho itauma kwamba nnechukua mbaya nikaacha mzuri, so kila atae baki anakuwa mzuri thus ibabidi nianze na mmoja mmoja mpaka wote
 
Back
Top Bottom