Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sura uyo mbovuCocochanel, ila akane chama chake
Mod mbadlshien kapeace prof photo, muekeeni hiiJamani kapeace mbona mnamgombea ka mpira Wa kona[emoji23] [emoji23]
Mm ninamke na hapa anaona ninavyo typemkuu hata wewe unamzimikia
Kama umeokoka katika ajali ya meli baharini Na ukajikuta upo katika kisiwa Na humo melini umeokoka wewe wanaume wengine watatu, Na warembo hawa baada ya miaka mitano ya kusubiri bila matumaini ya uokoaji,mnaamua kuanza maisha mapya kisiwani hapo kwa kuendesha shughuli za kilimo Na uvuvi Na uwindaji in short mmeanza maisha ya ujima(communalism)
Kuna wanawake wafuatao utamchagua yupi uzaa nae Na kuanzisha familia Na utamtongoza kwa maneno yapi akukubali!
Joanal
Demi
Mbitiyaza
Sakayo
Emmyta
Sky eclat
Shunie
Carba
Stable woman
Miss natafuta
Heaven on earth
Neybright
Mumu
Cocochanel
Kapeace
Linamo
Tomosa
Mkuu una hasira nao kweli ila ukionja ya joanah sidhani kama utamtoroka[emoji23] [emoji23]Hawa wote ni fake tu, sioi hata mmoja wao hapo. Hawa ni wa kuwapiga pumbu tu kisha unalianzisha kwa kuchukua mtumbwi ulioutengeza na kuwadanganya kuwa unaenda kuvua kumbe unawatoroka wajishindilie miti wenyewe, ukizama potelea mbali.
Ya chuchuIpi ikoje hiyo!
shukkraniHongera comrade!
shukkraniHongera comrade!