Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Nawashangaa wanaoendelea kukumention wakati saivi upo ghetto hapaVipi kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashangaa wanaoendelea kukumention wakati saivi upo ghetto hapaVipi kichwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] cc; carbamazepineNawashangaa wanaoendelea kukumention wakati saivi upo ghetto hapa
ngoja atatujibuM tage DJ atujibu maana Mimi nikimuuliza DJ ananiona kama adui teh teh teh
Eti hiyo ni tukiwa tumepotelea kisiwano DJ sijui kawaza nini?Nawashangaa wanaoendelea kukumention wakati saivi upo ghetto hapa
Mpaka yeye mmemweka humu [emoji125]Kama umeokoka katika ajali ya meli baharini Na ukajikuta upo katika kisiwa Na humo melini umeokoka wewe wanaume wengine watatu, Na warembo hawa baada ya miaka mitano ya kusubiri bila matumaini ya uokoaji,mnaamua kuanza maisha mapya kisiwani hapo kwa kuendesha shughuli za kilimo Na uvuvi Na uwindaji in short mmeanza maisha ya ujima(communalism)
Kuna wanawake wafuatao utamchagua yupi uzaa nae Na kuanzisha familia Na utamtongoza kwa maneno yapi akukubali!
Joanal
Demi
Mbitiyaza
Sakayo
Emmyta
Sky eclat
Shunie
Carba
Stable woman
Miss natafuta
Heaven on earth
Neybright
Mumu
Cocochanel
Kapeace
Linamo
Tomosa
naongelea umri wa kwenye ajali ya meli,soma mada uelewe.Kwani umebakiza muda gani "jembe"?
Dalili ya kufanywa sidechick naiona wazi hapa,
Sitakubali tukifika kisiwani
Ngoja aje....!Nani kapeace!!?
Za wikendi, hiyo safari ni lini ya kupanda meliAdventure baby!
Sawa !si kwamba nakataa ety siyo KE la hasha wengi siyo real.Mkuu wengi hao ni ke
Yuko wapi? Mwambie anioneYupo mbona!
mmmh!!! Kali!Sawa !si kwamba nakataa ety siyo KE la hasha wengi siyo real.
Wanawatu wao wengne wanakuja humu Kwa stress tyu wengne walisikia Kwa rafiki zao kuhusu JF
Wengne waliponunua cm waliikuta app ya JF akajalibisha Ku login akajikuta yumo mjengoni
Wengi wao wanapenda men wenye Tv na siyo malengo
Safari kufika ni mbali wao hawapendi safari x2
Kati ya hao uliorodhesha unaweza kuta wa kuoleka ni mmoja tu wengi ni wabinua makalio Insta
They are like monsoon wind they have no constant direction