Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukilala umejikunja flan ukiota unakimbizwa unakua unashindwa kukimbianitaondoa chapati izo,, lazima nishushie vitu vizito ivo,nishibe haswaaaa kisha nilale kuota nakimbizwa ndo zangu nshazoea
hua inakera aseeee hapo sasa unakimbizwa na ng'ombe 😂Ukilala umejikunja flan ukiota unakimbizwa unakua unashindwa kukimbia
wakurya wamasai huwa wanaota wanakimbizwa na ngo’’mbehua inakera aseeee hapo sasa unakimbizwa na ng'ombe 😂
Au gari inakuja ipo speed unashindwa kuvuka kwa harakahua inakera aseeee hapo sasa unakimbizwa na ng'ombe 😂
hii kamba sasa,,mimi sio mkurya wala masai,,ila nimekimbizwa sana na ng'ombewakurya wamasai huwa wanaota wanakimbizwa na ngo’’mbe
Wangoni huwa wanakimbizwa na nguruwe
una hide zako somewhere unaona limesimama linakutafuta,,ila ndoto🙌🏾🙌🏾Au gari inakuja ipo speed unashindwa kuvuka kwa haraka