NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Nipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi.
Hapo Mbeya hilo duka kuna kipindi niliwahi kwenda kuulizia hio simu anayoitaka, kulikuwa na ambayo imebonyea bonyea, kwenye kona ni kama imepondeka watu wanaikwepa.
Ndio simu ambayo katumiwa alipoagiza.
Mwenye duka anamwambia simu iko poa tu, Dogo kapaniki anataka kwenda Mbeya, yani hapo ataingia gharama zaidi kama elf 50 hivi ya nauli, gesti na chakula maana anaweza kukaa siku mbili huko.