Always i cant do delivery bcause the thing you see and its reality its too differentAnataka kuirudisha, Mwenye duka anamwambia simu ipo fresh haina tatizo.
Akiamua kuirudisha Mbeya atagharamika kama elf 50 hivi ya nauli, gesti na chakula
And the sellers will be eager to sell that faulty product that everyone at the shop skips, They see far away customers as easy target for dumpingAlways i cant do delivery bcause the thing you see and its reality its too different
Yaah so its better to see the product before you payAnd the sellers will be eager to sell that faulty product that everyone at the shop skips, They see far away customers as easy target for dumping
Wabongo biashara za online bado sana,wengi wao sio waaminifuNipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi.
Hapo Mbeya hilo duka kuna kipindi niliwahi kwenda kuulizia hio simu anayoitaka, kulikuwa na ambayo imebonyea bonyea, kwenye kona ni kama imepondeka watu wanaikwepa.
Ndio simu ambayo katumiwa alipoagiza.
Mwenye duka anamwambia simu iko poa tu, Dogo kapaniki anataka kwenda Mbeya, yani hapo ataingia gharama zaidi kama elf 50 hivi ya nauli, gesti na chakula maana anaweza kukaa siku mbili huko.
Dooh! Pole san ishawahi nikuta hii hapo alubali tuu shari kamili.Nipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi.