The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Tuwape nchi. Watamtapeli hadi Biden ahamishie White house kule MaranguWachaga bhana!
Kwa watunga sheria wa tozo za kizalebdo sijui kama hawa wacha watapeliwe tu hakuna jinsi!!Mtu mmoja aliejitambulisha kama Wilfred Masawe mkazi wa kwa mtoni kwa Azizi Ali wilaya ya Temeke, Dar es Salaam amekamatwa kwa kujifanya katibu mkuu wa CCM na kumpigia simu waziri wa ulinzi na kumtapeli...
Ndiyo hapo sasa. Nampa heko sana Bwana MasaweMassawe katisha Waziri anawezaje kutapeliwa kirahisi hivyo? Yan hamjui katibu Mkuu wa Chama chake?
Sio kila Mchaga ni Chadema kila siku nakuambia, huyo ni wa CCM.Wachaga bhana!
Chadema inatoka wapi tena bwashee?Sio kila Mchaga ni Chadema kila siku nakuambia, huyo ni wa CCM.
Sasa umeniamini?
Bwashee inatokawapi sasa?Chadema inatoka wapi tena bwashee?
Ni fake kweli?Fake...huyo jamaa namjua ni comedian