Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

Kuna mshikaji mmoja wa Mmachame huko alikuwa afisa kilimo wilaya Moja akawa custodian wa ghala la mazao. Aisee watu wanajua wamehifadhi mazao yao kumbe ashauzwa miezi mingi, alikuwa analeta Sem-trailer usiku kubeba mazao ya wadau kama yake.

Ubaya tu wakulima walimwamini hawakuwa hata wana msainisha mahala. Jamaa alipangua kesi aka resign kazi ss hv ni bilionea hapa mjini.
Hahaha hio ndio namna ya kuwatumia wajinga kuwa fursa
Akili kubwa
 
Anyway!.

Kama waziri wa Ulinzi anatapeliwa kirahisi hivi, basi wajinga hawatokaa wamalizike.

Imagine ndiye anaingia dili ya manunuzi ya Vifaa vya kijeshi. Na akutane na mitapeli iliyobobea, mama yangu tunaingizwa cha kike.

Aisee!.
hata chanjo ya kidono panga hudunda lakini sindano hupita.
maana yake ni nini?? akili za waziri zilikuwa kijamii zaidi na si kikazi, wakati anadanganywa.

sasa wewe kapige simu umwambie unauza magari ya jeshi kutoka urusi, utajua hujui.
 
Hahah kama ni kweli basi mwamba ajengewe sanamu kubwa pale wizara ya ulinzi...

Kumuingiza mkenge waziri wa ulinzi kiurahisi hivyo si jambo la ki sport sport...

Na huyo waziri dah, unaingizwaje cha kike kirahisi hivyo ilihali wewe ni mtu waongoza wizara kubwa hivyo...
 
Back
Top Bottom