Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

Wachaga watu wabaya Sana,ona sasa juzi mchaga mmoja kachoma Moto mmewe Leo huyu nae katapeli waziri...
Kuna mshikaji mmoja wa Machame, alikuwa afisa kilimo wilaya Moja akawa custodian wa ghala la mazao. Aisee watu wanajua wamehifadhi mazao yao kumbe ashauzwa miezi mingi, alikuwa analeta Sem-trailer usiku kubeba mazao ya wadau kama yake.

Ubaya tu wakulima walimwamini hawakuwa hata wana msainisha mahala. Jamaa alipangua kesi aka resign kazi ss hv ni bilionea hapa mjini.
 
Massawe katisha Waziri anawezaje kutapeliwa kirahisi hivyo? Yan hamjui katibu Mkuu wa Chama chake?
.lazima waziri nae atakua mpiga dili sio bure uzoefu unaonesha dili marazote kwawatumishi wa umma hawajawahi tumia simuzao

Waziri ilikua Iwe lazima atume akidhani k'm katumia namba x kuficha kujidhalilisha kuomba omba hela kwa wabunge na mawaziri

Msishangae waziri kuitika wito wa MANGI
 
Anyway!.

Kama waziri wa Ulinzi anatapeliwa kirahisi hivi, basi wajinga hawatokaa wamalizike.

Imagine ndiye anaingia dili ya manunuzi ya Vifaa vya kijeshi. Na akutane na mitapeli iliyobobea, mama yangu tunaingizwa cha kike.

Aisee!.
We acha tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu mmoja aliejitambulisha kama Wilfred Masawe mkazi wa kwa mtoni kwa Azizi Ali wilaya ya Temeke, Dar es Salaam amekamatwa kwa kujifanya Katibu Mkuu wa CCM na kumpigia simu Waziri wa Ulinzi na kumtapeli.

Jamaa anasema alitafuta namba ya Waziri wa Ulinzi, akampigia na kujitambulisha kama Chogolo Katibu Mkuu wa CCM na kuomba mchango wa harusi ya dada yake.

Waziri huyo wa ulinzi alimtumia mchango katibu mkuu huyo fake na jamaa akaitumia pesa kwa matumizi yake binafsi.

Sasa jamaa amekamatwa.
Msikilize hapa chini.

View attachment 1857061
Waziri wa Ulinzi hafai kushika hiyo nafasi kama anaweza kudanganywa na Masawe vipi Mr. Slim akiamua kutufanya lolote
 
Back
Top Bottom