Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

Na cm nayo unatupa
 
Ndiyo hapo sasa. Nampa heko sana Bwana Masawe
Huo ulikuwa mtego,waziri alishituka,ukawekwa mtego,jamaa akaingia kingi,angepigwa kama na wale wazee wa tuma kwenye namba hii Sawa,lakini huyu alitumiwa,wakawa wanamtrack akajiona mjanja,kumbe anaingia king,sasa ngoja aende akakalie chupa ya soda,na makalio wazi
 
Ningekua Rais ningemtumbua waziri wa ulinzi mchana kweupe yan polic kila siku wanatuma sms za usitume hela namba usiyo ifaham lakn matokeo yake anakuja kutapeliwa waziri uliempa dhamana ya ulinzi
 
Mtu mmoja aliejitambulisha kama Wilfred Masawe mkazi wa kwa mtoni kwa Azizi Ali wilaya ya Temeke, Dar es Salaam amekamatwa kwa kujifanya Katibu Mkuu wa CCM na kumpigia simu Waziri wa Ulinzi na kumtapeli.
Mwamba kaweka rekodi mziga mpka waziriπŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]nchi ngumu hii Jmn
 
Wachaga wana jambo lao wanalitafuta tuwaache kama walivyo.
 
Anyway!.

Kama waziri wa Ulinzi anatapeliwa kirahisi hivi, basi wajinga hawatokaa wamalizike.

Imagine ndiye anaingia dili ya manunuzi ya Vifaa vya kijeshi. Na akutane na mitapeli iliyobobea, mama yangu tunaingizwa cha kike.

Aisee!.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒUmemaliza kamanda,yaani kapigwa kiboya mnoo...
 
Anyway!.

Kama waziri wa Ulinzi anatapeliwa kirahisi hivi, basi wajinga hawatokaa wamalizike.

Imagine ndiye anaingia dili ya manunuzi ya Vifaa vya kijeshi. Na akutane na mitapeli iliyobobea, mama yangu tunaingizwa cha kike.

Aisee!.
Sema ataingizwa cha kiume sio cha kike.
 
Nchi ngumu sana hii, tusilaumu watu wa chini, kama waziri tunayetegemea awe dira, anachapwa kirahisi hivyo, raia wa kawaida itakuwaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…