Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

Watanzania wengi wana pesa mingi sana, ndiyo maana hata wale Wazee wa ile pesa tuma kwa no hii wanapiga sana mkwanja wa wajinga! Alafu mbongo akisha tuma pesa ndiyo anaanza kuhakiki,Sasa wwe badala ya kuhakiki kabla hujatuma,eti unahakiki wakati umesha tuma!hizo ni akili au matope!?
 
Wachaga watu wabaya Sana,ona sasa juzi mchaga mmoja kachoma Moto mmewe Leo huyu nae katapeli waziri.

Hawa watu wakipewa nchi wanaweza iba nchi yetu,they are really worse people ever!!!!

Shubamiti
Unakosea. Haifai kosa lifanywe na mtu mmoja halafu lawama iende kwa kabila lake lote. Wapo ambao hawapendi wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…