Wew ni chiziWaziri alitambua kwamba ni tapeli akamtumia mchango ili rahisi kumkamata waziri ametumia.mbinu ya kijasusi.ya kutomshitua mtujumiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew ni chiziWaziri alitambua kwamba ni tapeli akamtumia mchango ili rahisi kumkamata waziri ametumia.mbinu ya kijasusi.ya kutomshitua mtujumiwa
Huyo angepiga kimya🤣🤣🤣Angemtapeli mwigulu 😃😃😃
Ukiwa na hela unakua don't careIna maana waziri hakuona jina wakati anahakiki jina?
Hapana waziri atakuwa na kasoro kichwani, na pengine jamaa alijua udhaifu wake kichwani akautumiaUnatakiwa kuwa na akili kubwa sana kumtapeli Waziri.
Sanamu lake lijengwe pale upanga makao makuu ya wizara ya ulinzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaa noma kamuibia waziri wa ulinzi.
Ajengewe sanamu wapi huyu, au iwe pembeni ya atakayo jengewa JPM
Watanzania wengi wana pesa mingi sana, ndiyo maana hata wale Wazee wa ile pesa tuma kwa no hii wanapiga sana mkwanja wa wajinga! Alafu mbongo akisha tuma pesa ndiyo anaanza kuhakiki,Sasa wwe badala ya kuhakiki kabla hujatuma,eti unahakiki wakati umesha tuma!hizo ni akili au matope!?Umakini wa Waziri yapaswa uchunguzwe.
Itakuwaje waziri wa serikali mtu kuwa tu katibu wa CCM hata siku hamjaogea(hamjuani) anakuomba pesa bila kuchunguza mtu unaemtumia pesa jina lake ni la katibu Chongolo, wewe unazituma na zakutolea, hapo walakin upo!
Na huwa wanapigwa kweli sema wengi wao huwa wanakula Kobisi tu ili wasionekane wajinga!!Huyo angepiga kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Kama unakua don't care,kwa nini wanaanza kuhakiki baada kutuma muamala!?Ukiwa na hela unakua don't care
Unakosea. Haifai kosa lifanywe na mtu mmoja halafu lawama iende kwa kabila lake lote. Wapo ambao hawapendi wizi.Wachaga watu wabaya Sana,ona sasa juzi mchaga mmoja kachoma Moto mmewe Leo huyu nae katapeli waziri.
Hawa watu wakipewa nchi wanaweza iba nchi yetu,they are really worse people ever!!!!
Shubamiti
Ndio maana anatuma vijana kumdakuaIna maana waziri hakuona jina wakati anahakiki jina?