Mkuu,kwa historia hii, mbona naanza kupata wasiwasi kuhusu ile 300,000/= ya msiba???Alafu hiyo pesa yenyewe sasa ndio nilikuwa nimepewa kama pocket money ya mwezi mzima na huyo mama yangu mkubwa.
Hapana mkuu, ile 300,000/= ya msiba ilidondoka kweli na sikutapeliwa na watu kama yule jamaa wa Kariakoo alivyonifanyia.Mkuu,kwa historia hii, mbona naanza kupata wasiwasi kuhusu ile 300,000/= ya msiba???
Isije ikawa uliuziwa simu/ulitapeliwa halafu ukaja kulia Lia jf kwamba umedondosha.
Asante mkuu, ila hiki ni kisa cha miaka mingi sana wakati bado nipo secondary.
Alafu kisa amemuibia Mhindi. Ubaguzi ni kitu kibaya sanaNi kweli kabsa, halafu enzi hizo kuiba ilionekana kama sifa, mwizi anamwambia nimeichomoa kwa muhindi nawe unakubali kununua mali ya wizi kisa ni bei chee.
Utajiri wa msomi upo kichwani kwake mzee baba na ndio maana wanaitwa wataalam wa masuala fulaniSawa lakini kusimamia ni tofauti na kumiliki,,,
Kwani wao wasomi wanaosimamia huo utajiri, hawataki kuwa matajiri?!
Mbona hawana utajiri sasa?! Pamoja na usomi wao wote?!
Tunarudi kulekule elimu ya darasani ni tofauti na elimu ya mtaani (ujanja),
Utajiri mzuri ni wa yule mwenye mali nyingi pamoja na elimu ya juu zaidi.Hapana nimejibu hoja yako kwamba, kwanini waliosoma sana hawafanyi vizuri mtaani?!
Nikakujibu kuwa elimu ya darasani ni tofauti Na ujanja wa mtaani,
Nikakupa mfano wa matajiri wengi sio wasomi wakubwa kama maproffesors, Na maproffesors wengi sio matajiri wakubwa!
Ukasema maproffesors wengi ndio wako serikali wakiwapangia Sera matajiri,
Nikakujibu wako serikalini kwasababu wao ni wazuri kwakazi hizi za kuajiriwa, ujanja wao ni darasani ni wazuri kwa Kazi za collar job, sio wazuri kwa ujanja wa mtaani ili waweze kupata utajiri kama matajiri wengine, maana hakuna mtu anayetaka kuajiriwa tu maisha yake yote hasitake kuwa tajiri binafsi, ukasema matajiri wengi sio wanasiasa wazuri , nikakupa mfano wa Trump, Blomberg, shinawatra, belosconi, nk
Hapo ndio tulipofikia kwenye MATAJIRI VS SIASA
KUSOMA SANA VS UTAJIRI
Ni mwendelezo wa mada tu usiogope mkuu,,,
Hakika maisha ni mchezo kaka mkubwaWanajua kucheza na huu usemi "maisha Ni mchezo "