Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

Alafu hiyo pesa yenyewe sasa ndio nilikuwa nimepewa kama pocket money ya mwezi mzima na huyo mama yangu mkubwa.
Mkuu,kwa historia hii, mbona naanza kupata wasiwasi kuhusu ile 300,000/= ya msiba???

Isije ikawa uliuziwa simu/ulitapeliwa halafu ukaja kulia Lia jf kwamba umedondosha.
 
Mkuu,kwa historia hii, mbona naanza kupata wasiwasi kuhusu ile 300,000/= ya msiba???

Isije ikawa uliuziwa simu/ulitapeliwa halafu ukaja kulia Lia jf kwamba umedondosha.
Hapana mkuu, ile 300,000/= ya msiba ilidondoka kweli na sikutapeliwa na watu kama yule jamaa wa Kariakoo alivyonifanyia.
 
Ni kweli kabsa, halafu enzi hizo kuiba ilionekana kama sifa, mwizi anamwambia nimeichomoa kwa muhindi nawe unakubali kununua mali ya wizi kisa ni bei chee.
Alafu kisa amemuibia Mhindi. Ubaguzi ni kitu kibaya sana
 
Sawa lakini kusimamia ni tofauti na kumiliki,,,

Kwani wao wasomi wanaosimamia huo utajiri, hawataki kuwa matajiri?!

Mbona hawana utajiri sasa?! Pamoja na usomi wao wote?!

Tunarudi kulekule elimu ya darasani ni tofauti na elimu ya mtaani (ujanja),
Utajiri wa msomi upo kichwani kwake mzee baba na ndio maana wanaitwa wataalam wa masuala fulani
 
Hapana nimejibu hoja yako kwamba, kwanini waliosoma sana hawafanyi vizuri mtaani?!

Nikakujibu kuwa elimu ya darasani ni tofauti Na ujanja wa mtaani,

Nikakupa mfano wa matajiri wengi sio wasomi wakubwa kama maproffesors, Na maproffesors wengi sio matajiri wakubwa!

Ukasema maproffesors wengi ndio wako serikali wakiwapangia Sera matajiri,

Nikakujibu wako serikalini kwasababu wao ni wazuri kwakazi hizi za kuajiriwa, ujanja wao ni darasani ni wazuri kwa Kazi za collar job, sio wazuri kwa ujanja wa mtaani ili waweze kupata utajiri kama matajiri wengine, maana hakuna mtu anayetaka kuajiriwa tu maisha yake yote hasitake kuwa tajiri binafsi, ukasema matajiri wengi sio wanasiasa wazuri , nikakupa mfano wa Trump, Blomberg, shinawatra, belosconi, nk

Hapo ndio tulipofikia kwenye MATAJIRI VS SIASA
KUSOMA SANA VS UTAJIRI

Ni mwendelezo wa mada tu usiogope mkuu,,,
Utajiri mzuri ni wa yule mwenye mali nyingi pamoja na elimu ya juu zaidi.
 
Back
Top Bottom