Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

Siwezi ibiwa na mtu aliyefeli shule hata siku moja.

Kwanza sipendi vitu vya bei nafuu.
Mbili nipo huru na pesa yangu, na sina tamaa.

Tatu, ninachokitaka ndio huwa, sina tabia ya kumsikiliza MTU. Mimi ni dikteta. Hunipeleki peleki.

Kabla sijanunua kitu nimeshafanya research.

Nikitembea huwezi nikaribia na kunigusa, utajuta.

Kuibiwa ni dalili ya ujinga. Kabla uniambie kufanyiwa ujambazi.

Lakini wizi kama wizi sidhani.

Usipende bwerere
 
Dah hii yako ni kiboko
 
Kuna watu hawajasoma sana (unakuta mtu ameishia darasa la saba tu mwaka 1991) ila wana akili sana hata ukikutana nao mtaani katika maisha ya kila siku, na kwa namna wanavyopangilia kazi zao au hata ratiba zao za kila siku, unajua kabisa huyu mwamba aliishia darasa la 7 kwa sababu ya umasikini tu na kama angesoma sana angekuwa mtu mmoja hatari kweli kweli.

Je, ulishawahi kuwaona/kukutana na watu wana namna hii?
 
Hahahhahhhahahahh!bila kusahau tandale a.k.a mbingu A idete muhola minepa mavimba[emoji23][emoji23][emoji23]

V/60, minarani, maendeleo, kibaoni, kikwawila, kining'ina,yanga, nakasisi, aaahh kwa mkuya,kiungani aaaahh basis.
 
Kwa jinsi ulivyo hivi wewe huwajui kabisa hawa wajuba, jichanganye nao ndo uje utuambie hawakuwezi wewe unawakimbia
 
Taja sehemu ya utotoni usiyoisahau
 
Msowero, Mvumi, Rudewa, Kilosa, Mkambarani, n.k. huko ndiko machimbo ya magenius STD 7, haataarii!
Hapo Msowero wanaitwa MALEBANONI!

Everyday is Saturday.............................. 😎
Kuna watu hawajasoma sana ila wana akili nyingi. Je, ulishawahi kukutana nao katika maisha yako?
 
Huyo aliyekuuzimia kipande Cha sabuni unajuaje ni darasa la Saba?? Ila hoja yako bado Ina mantiki...wako wengi darasa la Saba lakini ni brilliant and intelligent...chukulia kwa mfano mbunge kibajaji...
 
Kwa jinsi ulivyo hivi wewe huwajui kabisa hawa wajuba, jichanganye nao ndo uje utuambie hawakuwezi wewe unawakimbia


Mimi mwenyewe Mkulungwa mzee.

Sio rahisi kuniingia kwa sababu ninatabia ya kuendesha mazungumzo, nipo huru mkuu.

Nimeshazungula DSM yote, Arusha, Mbeya, Mwanza, Moro,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…